Illusions!Habari wanajamvi,
Napenda muamini ndugu zangu, Mh. JPM yupo njiani kuwatumbua Mh Mwakyembe na Mh Nchema.
Issue ya KIBITI itamsogeza Mh Nchema pembeni na issue ya MAKONTENA itamsogeza Mh Mwakyembe pembeni.
Muda ni Mwalimu Mzuri, tuvute tu subira.
Waziri wa utamaduni na michezo (Mwakyembe) na makontena ni wapi na wapi ?? Au mimi niko nyuma ya muda ??Habari wanajamvi,
Napenda muamini ndugu zangu, Mh. JPM yupo njiani kuwatumbua Mh Mwakyembe na Mh Nchema.
Issue ya KIBITI itamsogeza Mh Nchema pembeni na issue ya MAKONTENA itamsogeza Mh Mwakyembe pembeni.
Muda ni Mwalimu Mzuri, tuvute tu subira.
Uwajibikaji upo wapi sasa bado una imani na the so called "field marshal".Kwa Mwakyembe sawa ila Mwigulu bado sijaona mapungufu yake.!
Hata akijitumbua Mwenyewe bomba tuHabari wanajamvi,
Napenda muamini ndugu zangu, Mh. JPM yupo njiani kuwatumbua Mh Mwakyembe na Mh Nchema.
Issue ya KIBITI itamsogeza Mh Nchema pembeni na issue ya MAKONTENA itamsogeza Mh Mwakyembe pembeni.
Muda ni Mwalimu Mzuri, tuvute tu subira.
Mkuu umekosea nenda jukwaa la celebrity.Waziri wa utamaduni na michezo (Mwakyembe) na makontena ni wapi na wapi ?? Au mimi niko nyuma ya muda ??
rafiki hakuna kitu kama hicho. trend hakuna aliyefukuzwa kwa kuharibu kazi. kitwanga ulevi??? . Hawa uliowasema wako smart sana kwa kujikomba na kusifia, wamefika maana wamemsoma mkubwaJust stay tune...
Kuna siku atajitumbua, maana kwa spid hiiHata akijitumbua Mwenyewe bomba tu