Believe: JPM is on the way. (Amini: JPM yupo njiani)

Believe: JPM is on the way. (Amini: JPM yupo njiani)

Katumbuliwa Nape umeongezekewa na nini katumbuliwa muhonho tumefaidika vp? Wamebaki waliobaki sinema palepale vijana wa mjini husema hawana nanufaa wala hawana madhara labda amtumbue Bashite kidogo tutamwela kama ni mzalendo
 
~~~>>>>Lini tutaacha kuishi kwa kutabiri........
 
Hawatatumbuliwa, watabakia kwenye wizara zao ila mkuu atawasimamia kwa ukaribu zaidi kuongeza ufanisi katika utendaji wao.
 
Kwa muwa kiembe sahau,hao ni waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba,,,,ukitaka kuamini ona jinsi ishu ya vichwa vya treni ilivo yeyushwa kwa kutengenezwa zengwe la shonza kule bungeni.
 
sasa akimtumbua mi msulupwete nafaidika vipi?AU mshahara wa mwakyembe wataugawa kwa walimu wote?
 
Waziri wa utamaduni na michezo (Mwakyembe) na makontena ni wapi na wapi ?? Au mimi niko nyuma ya muda ??
Tafuta Uzi unaoelezea uhusika wa Mwakyembe katika sakata la Vichwa vya treni. Nadhani utaelewa kiundani zaidi.
 
Habari wanajamvi,

Napenda muamini ndugu zangu, Mh. JPM yupo njiani kuwatumbua Mh Mwakyembe na Mh Nchema.

Issue ya KIBITI itamsogeza Mh Nchema pembeni na issue ya MAKONTENA itamsogeza Mh Mwakyembe pembeni.

Muda ni Mwalimu Mzuri, tuvute tu subira.
Natamani iwe hivyo.Nchemba ametuangusha Kibiti na Mwakyembe ametupiga kwenye engine za train.Sitamani kuwaona wakiwa watumishi wa serikali.
 
Back
Top Bottom