mmezaliwa na baba mmoja!! thats why mi siwezi muacha mchuchu wangu na mdada wa kazi ndani kwa masaa!
Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?
Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?
Unaonekana kama anayokufanyia na wewe unayafurahia? ivi kweli ww ukiwa kama baba kwenye nyumba unakua time gani yakuangalia Masaburi ya huyo mfanya kazi? hizo kungu alikwambia kama anakulia ww au hashuo lako tuu fisadi wewe? ebu jiheshimu kwanza halafu muheshimu na mkeo unafikiri ukisha mvua hupi huyo dada unadhani atamuheshimu tena Mkeo? usiwe mwanamme suruali kua mwanamme mwenye msimamo...
Ngwini ni Ngwini tu!!
Wewe unataka kufanyaje Ngwni? Na hapo hujapewa upako chakufanya?
Mwenyewe nashangaa, wababa wengine bwana, kama sio wababa vile.
Kama fotokopi ya baba ndani ya nyumba wewe............Masaburi, masuburi....huna haya
Kemea pepo hilo.
Kumbuka kiapo chako kwa mke wako.
Nitakuwa mwaminifu kwako, maisha yangu yote.
Mkanye huyo beki tatu, mwambie awe na adabu avae vizuri na awe na staha mbele yako.
Kuwa mkubwa wewe, acha kumpa Ibilisi nafasi.mia
Maslimu yule mzee wa mia.
hapa cfanyi k2 zaidi nataka ushauri 2,au nimfukuze?
mkuu kwani wanandoa wote wanakumbuka kiapo?
hapa cfanyi k2 zaidi nataka ushauri 2,au nimfukuze?
Wapaswa uwe tofauti nao na wala usiruhusu hilo litokee kwako
kumbuka ahadi yako na mkeo na ukumbuke kuwa unampenda mkeo na sio huyo msaidizi wa nyumbani
Kwa nini unashindwa kuwa mwaminifu kwa ndoa yako mpaka unataka umsaliti mkeo
mkuu asante kwa ushauri na nitaufanyia kazi..
Umeonyesha udhaifu mkubwa sana na inaonekana hata mkeo hujawahi kumpa sifa ulizompa huyo msaidizi wako hapo
Mwambie wazi na mkemee kuhusu tabia yake ya kukuvalia kanga moja na kupita mbele yako pia kukulainishia macho wakakti anaona kabisa kuwa wewe una familia yako na unaiheshimu familia yako