Beki 3

ngwini

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
482
89
Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?
 
mmezaliwa na baba mmoja!! thats why mi siwezi muacha mchuchu wangu na mdada wa kazi ndani kwa masaa!
 
We acha kabisa hayo mambo na mkemee huyo msaidizi wako anayejaribu kuharibu ndoa yako na jiepushe nae na mwambie wazi kabisa maana hapo huyo anataka kuvunja ndoa yako
Na inaonekana kuwa uko tayari kufanya hayo
Jiepushe mkuu na kama unaipenda ndoa yako kaa mbali na huyo
 
mmezaliwa na baba mmoja!! thats why mi siwezi muacha mchuchu wangu na mdada wa kazi ndani kwa masaa!

Duuu we hufai jamaa akikuacha na rafiki yake wewe nakuapia hupindui ...aibu dunia ya leo kujirahisi...
 
Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?

Unaonekana kama anayokufanyia na wewe unayafurahia? ivi kweli ww ukiwa kama baba kwenye nyumba unakua time gani yakuangalia Masaburi ya huyo mfanya kazi? hizo kungu alikwambia kama anakulia ww au hashuo lako tuu fisadi wewe? ebu jiheshimu kwanza halafu muheshimu na mkeo unafikiri ukisha mvua hupi huyo dada unadhani atamuheshimu tena Mkeo? usiwe mwanamme suruali kua mwanamme mwenye msimamo...
 
  • Thanks
Reactions: LD
Ngwini unaonyesha wazi wewe ni mdaifu kiasi gani acha kuendekeza tamaa za mwili na huo uchafu.....USIZINI
 
Kemea pepo hilo.
Kumbuka kiapo chako kwa mke wako.
Nitakuwa mwaminifu kwako, maisha yangu yote.

Mkanye huyo beki tatu, mwambie awe na adabu avae vizuri na awe na staha mbele yako.
Kuwa mkubwa wewe, acha kumpa Ibilisi nafasi.mia
Maslimu yule mzee wa mia.
 
Wewe unataka kufanyaje Ngwni? Na hapo hujapewa upako chakufanya?

Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?
 
Unaonekana kama anayokufanyia na wewe unayafurahia? ivi kweli ww ukiwa kama baba kwenye nyumba unakua time gani yakuangalia Masaburi ya huyo mfanya kazi? hizo kungu alikwambia kama anakulia ww au hashuo lako tuu fisadi wewe? ebu jiheshimu kwanza halafu muheshimu na mkeo unafikiri ukisha mvua hupi huyo dada unadhani atamuheshimu tena Mkeo? usiwe mwanamme suruali kua mwanamme mwenye msimamo...

Mwenyewe nashangaa, wababa wengine bwana, kama sio wababa vile.
Kama fotokopi ya baba ndani ya nyumba wewe............Masaburi, masuburi....huna haya
 
ushawah kuona kanga imeloweshwa? na mtoto anasaburi la haja..hapa hakuna la ubaba wala ubabu
 
Kemea pepo hilo.
Kumbuka kiapo chako kwa mke wako.
Nitakuwa mwaminifu kwako, maisha yangu yote.

Mkanye huyo beki tatu, mwambie awe na adabu avae vizuri na awe na staha mbele yako.
Kuwa mkubwa wewe, acha kumpa Ibilisi nafasi.mia
Maslimu yule mzee wa mia.

mkuu kwani wanandoa wote wanakumbuka kiapo?
 
hapa cfanyi k2 zaidi nataka ushauri 2,au nimfukuze?

Umeonyesha udhaifu mkubwa sana na inaonekana hata mkeo hujawahi kumpa sifa ulizompa huyo msaidizi wako hapo
Mwambie wazi na mkemee kuhusu tabia yake ya kukuvalia kanga moja na kupita mbele yako pia kukulainishia macho wakakti anaona kabisa kuwa wewe una familia yako na unaiheshimu familia yako
 
mkuu kwani wanandoa wote wanakumbuka kiapo?

Wapaswa uwe tofauti nao na wala usiruhusu hilo litokee kwako
kumbuka ahadi yako na mkeo na ukumbuke kuwa unampenda mkeo na sio huyo msaidizi wa nyumbani
Kwa nini unashindwa kuwa mwaminifu kwa ndoa yako mpaka unataka umsaliti mkeo
 
mkuu asante kwa ushauri na nitaufanyia kazi..
 
Jiulize swali moja tuu la msingi
Ingekuwa ni mkeo anamtamani house boy kiasi hiki anamsifia kifua au mwili au sauti na sura yake wewe ungekluwaje
Jiweke kwenye nafasi ya mkeo ambaye huko aliko may be anajitunza kwa kuwa anajua ana mume anayempenda ila huku mume anashindwa kuvumilia anamtamani house gal
Je tendo la mara moja ndio linakufanya umsaliti mkeo
Je likitokea la kutokea ukaambukizwa ugonjwa wowote na akaja mkeo akaupata utauweka waopi uso wako kwa kushindwa kuwa mwaminifu kwa mkeo
 
Ukiona hivyo kaona jamaa nae yuko kiasarasara,anatoatoa mimacho kama komba kwa hiyo naye beki3 kaona asilaze damu

Back
Top Bottom