Beki 3

Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?
Sijui ni mimi tu au kuna wengine kama mimi, siwezi hata siku moja kumtamani housegirl hata kama nina ukame au tamaa kuna wangapi huko nje ?,wanaume wa hivyo ni aina ya wabakaji wanafahamu kwakuwa binti anashida watamlazimisha tu.
 
Mkeo yupo Igunga! Huyo keshatafunwa na Mwigulu Nchemba huko!! Sasa kwa kupooza machungu ya Nchemba mtafune huyo Colos ila mwambie kisports!!
 
Sijui ni mimi tu au kuna wengine kama mimi, siwezi hata siku moja kumtamani housegirl hata kama nina ukame au tamaa kuna wangapi huko nje ?,wanaume wa hivyo ni aina ya wabakaji wanafahamu kwakuwa binti anashida watamlazimisha tu.

inaonekana haujawah kutegwa wewe.
 
Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?

Hizo story za kubuni bana.. zatupotezea muda tu. Ni baba mwenye nyumba gani anaweza kuambiwa huo ujinga? We sema unamtaka ww unaangalia pa kuanzia, ptuuuuu
 
kwani umeambiwa ni stori hii?
 
Back
Top Bottom