I have had nice an beautiful House Girls in my House, na nimekuwa very fair Kwao; I just imagine that hawakupata tu opportunity Ambayo Mimi nimepata, hii Mungu Kanipa na Si mbaya tukishare nao.
Kwanza nawalipa hela Ambayo najua wanaweza kusave, nina mke na mtoto mmoja, Si Nyumba complex, namlipa Dada 70,000 hii najua anasaidia Kwao na kusave, gharama nyingine Kama saloon, etc anamwambia mke wangu anapata.
Jambo lingine Sasa ambalo Ni kujibu hoja yako, Jamani kuweni na adabu; why would you think of her Kimapenzi, assume tu Ni Kama mdogo wako na umepewa dhamana ya kumlea, it is more into a mindset than udhaifu.
Kama anafanya Kazi vizuri na katulia, do the following;
- assume Ni mdogo wako unaishi naye.
- assume Huyu mdogo wako Hana maisha bila Wewe kumlea na kumsaidia afanikiwe.
- assume Naye kuna Siku anataka aolewe awe na Nyumba Yake Aishi kwa Amani.
- you have to know that when involved into sex, there are valid feelings of love created, utamsaidiaje?
If you think well of the above you will be fine,
House gals Ni wadogo zetu, Hemu tutafautishe Akili zetu na za Punda Jamani.