Wakuu,
Kwanza kabisa nipende kutoa shukran zangu za Dhati kwa Michango yenu.
Mmechangia meengi sana ya kujifunza na kama kuna mtu alikuja na kuchungulia hii thread na asipate lolote la kujifunza basi atakuwa na Matatizo.
Sitaweza kuwataja woote kwa Majina ila sio Vibaya nikitoa shukran zangu za Dhati kwa wale walio ni challenge na kunikaripia
na wengine kukaribia hata Kunichapa Vibao Kama ingetokea kuwa Karibu nao, Bila kuwasahau wale walionishauri namna ya kukabiliana na hili
Bila kuwasahau wale wale nishauri kumla Beki 3 wangu.
Inshort, Mungu amejibu Maombi yangu, wala sikutengeneza Zengwe, ila Mungu amenipa namna Nzuuuri ya ku solve hii issue, Kesho kutwa Nampakia Gari huyu NIMT straight to Kwao.
SIHITAJI TEEEENAA BEKI 3 NYUMBANI KWANGU
Akina
mamajack ,
snowhite ,
SnowBall ,
Speaker watu8 Kaunga,
Mtoboasiri,
Dark City dada white,
Riwa Fyong'oxi Kongosho Concrete uttoh2002 Kituko,
cacico BADILI TABIA mzabzab wehoodie Paloma, @FP,
mtotowamjini,
lara 1,
philipo kidwanga Dena Amsi Ramos sosoliso Blaine king'asi
Diga Diga,
Eiyer mwakabhuta Edson YETOOO WALIMWEUSI andybird314 MzeePunch,
Ng'ongoampoku SMU,
TIQO BAK Ndukidi ndetichia kipipili salosalo DSpecial wagaba Chiwa The Mockingjay valid statement,
JICHO LA TATU Anita baby
Ahsanteni Sana, Mungu Yupo Jaman na ansikia Maombi yetu, kila tuwapo Majaribuni, Basi tusisite Kumuomba Guidance yake