Being a wife material sucks

Mkuu hongera sana kwa kumwambia ukweli mleta mada. I hope every woman read this post. Men love submission and would wish there to be wives be submissive and put aside pride

Amen..!
 
Labda una hofu ya Mungu ili upate mume but kama ni kitu kiko ndani yako utakua wa kawaida na kujichanganya bila tatizo
 
Poleni sana. Labda mwakani wanatabdilika..
 

My dear even here Jf pia wapo , wanatutizama tuu the way we are behaving .. To reduce the cost we just need to be us and not fake people at the end uzalendo unatushinda.. Just be real you / me / we / us. I have seen many men and women here Jf ambao are serious and wise to be a good husband and wife .. But nilichokiona some women ambao wako wise here Jf are not single.. We just have to watch who are we talking with in here Jf kwa sababu sio wote wako hapa kujiburudisha tuu but some are here to look for the woman of their dream .. Thanks .
 
Last edited by a moderator:


Your are quite right aisee
 
Be humble, be real, be you and hutokuwa na regrets at all. Kuna kitu kikubwa sana binadamu tunakosea. Nacho ni kujipa haki sisi ya kustahili mazuri na kuona wengine hawastahili mazuri. Stop judging

Kuwa wife material sio guarantee ya kuwa utakuwa na ndoa smooth au maisha mazuri kuliko wasio wife materials. Kila mtu ana njia yake na destiny yake. Kama unafanya uwife material kama investment basi jiandae tu kisaikolojia coz kila muda unaona wale ambao unahisi hawastahili kuolewa wanaolewa, ndo utakuwa unalia vizuri, kesho utaamua kuwa mcharuko afu ukakuta mambo ndo mabaya zaidi. But kama upo real haikusumbui sana coz no matter what wewe ni wife material tu. Unarelax tu coz unajua kuwa God knows what's the best for you and everything happens in his perfect time. Usijione mwenye haki sana kuliko wengine
 
Be real wanawake ambao wanaonekana mcharuko ndo mara nyingi wanapendwa coz wanaonyesha rangi zao halisi hata mwanaume akipenda anakuwa anajua tabia zake in and out
Lakini wale wife material mara nyingi ni chui waliovaa ngozi ya kondoo tu
 

Proud of you, I
 

Nakubaliana na mawazo yako. Ila kuna wanawake hawajitambui kabisa, unampa kila kitu (mahitaji) lakini bado atakuzingua. Rafiki yangu kaoa na ana watoto 2, kapata nafasi ya kwenda kusoma, huwezi amini ndani ya mwaka 1 tu karudi mkewe ana MIMBA! ya miezi 7, yaani mimba kabisa!, nyumba nzuri kamjengea, gari kamnunulia, na kila aina ya anachohitaji anapewa, yaani ni adhabu aisee, baadhi ya wanawake taabu tu
 

Mmh ndo umeamua kugongelea hivi kumbe, ila umeongea kweli tupu
 
Mmh ndo umeamua kugongelea hivi kumbe, ila umeongea kweli tupu
Exactly my kaka. Yani ingekuwa binadamu ndo tunaamua maisha ya mtu yawaje, kuna watu wangepata tabu mno. Tunasahau kuwa wote tunaishi kwa neema tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…