utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,657
hapo sipati picha alieumia ni mwanamke coz kibao cha jamaa sidhani kilikuwa kilaini kama cha dada lol
thank you love kwa samare
Mwanamke lazma alie tu hapo
hapo sipati picha alieumia ni mwanamke coz kibao cha jamaa sidhani kilikuwa kilaini kama cha dada lol
thank you love kwa samare
Mwanamke lazma alie tu hapo
umeona eeeh dada anatamani itokee second chance alipize
Niambie mimi baby
Nifikishie salam kwa miss Neddy, samahani lakini (be a bridge)
Bila samahani ila salam hazitaenda
Heee, kwa nini tena?
Basi tu....