Bei za mafuta Zapanda tena

Mimi binafsi naungana na serikali katika kuhakikisha kila mtanzania anawajibika kulipa Kodi na kuliletea maendeleo taifa lake,hatuwezi kuwa taifa la watu wanaopenda kulalamika kwa kila kitu,kikubwa tozo husika zitumike kuleta maendeleo
 
Elimu ya makaratasi haijamsaidia Dr...hii serikali ya awamu hii hovyo kabisa maisha yanazidi kuwa magumu kwa kila kitu
 
Pesa si zimejaa mitaani Kwa sasa!!

Acha yapande tu,
 
Anachotufanyia bimkubwa ni kama umuokota mdada mwenye make up usiku tena ukiwa na akili za pombe na za genye juu.. Asubuhi ukiamka ndio unaanza kupata picha kamili..

Maji tutaita mma mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…