Boargene
Member
- Nov 13, 2018
- 66
- 71
Yap n sawa.Mkuu unasahau kuwa we ni indirect user...mafuta yakipanda athar zake utakutana nazo kwenye bidhaa utakazonunua hadi tube ya baiskeli itapanda...
Yap n sawa.Mkuu unasahau kuwa we ni indirect user...mafuta yakipanda athar zake utakutana nazo kwenye bidhaa utakazonunua hadi tube ya baiskeli itapanda...
Kumbe na wewe unawategemea chadema wakusemee kwenye hili?Chadema wako bize na Membe huku Mbowe akisotaSegerea
Hivi yule jamaa wa futuhi mwenye shati kubwaaaa anaitwa Nani vile?Chezea kupanda kwa dollar na maduka ya fedha kulindwa na JESHI.
Matokeo ndio haya sasa tulieni dawa iwaingie
Dsm akilalamika usidhani kwako bei itabakia hiyo.mtembelee zahoro baadae akupe ankra iliyopo mezani.DSM ikiwa na ahueni nawe utapata unafuu wa maisha .amalipo gakugobile?Kagera tunanunua around Tsh 2600 mpaka 2800 karibu mwezi wa NNE kwa Petrol
Bei kikomo ya mafuta Karagwe (Kayanga) kwa sasa ni:-
Petroli Tsh 2,628
Dizeli Tsh 2,617
Mafuta ya Taa Tsh 2,512
Watu wa Dar acheni kulalalalalalama, kazi na bata mpaka 2020, nchi yapigwa pasii
Nalima mwenyewe mkuu,porini mahindi nalima mwenyewe,mboga za majani nalima mwenyewe,samaki navua mwenyewe,nyama ya kumwaga,mafuta ya taa ni kuni na mkaa ambao natengeneza mwenyewe!!!food items unanunua wapi?
jembe? nguo uvaazo kwenda shamba? sabuni ya kufulia? unga unasaga wapi? unatania!Nalima mwenyewe mkuu,porini mahindi nalima mwenyewe,mboga za majani nalima mwenyewe,samaki navua mwenyewe,nyama ya kumwaga,mafuta ya taa ni kuni na mkaa ambao natengeneza mwenyewe!!!
Kwani hivyo vifaa ndio nitanunua leo? Vifaaa ninavyo karibia mwaka wa 3 hivyo hivyo navitumia,kwani sabuni imepanda bei? sabuni ya kipande iliyokuwa inauzwa 200 baada ya mafuta kupanda inauzwa 300? Kusaga unga kwani bei yake imepanda? Si ile ile? Vitu vinavyopanda bei ni vile vinavyotelwa sehemu moja kwenda nyingine mikoa tofauti,sabuni,mahindi yote yapo huku huku kwetu,bei itapanda kwa sababu zipi?jembe? nguo uvaazo kwenda shamba? sabuni ya kufulia? unga unasaga wapi? unatania!
basi basi kwaheriKwani hivyo vifaa ndio nitanunua leo? Vifaaa ninavyo karibia mwaka wa 3 hivyo hivyo navitumia,kwani sabuni imepanda bei? sabuni ya kipande iliyokuwa inauzwa 200 baada ya mafuta kupanda inauzwa 300? Kusaga unga kwani bei yake imepanda? Si ile ile? Vitu vinavyopanda bei ni vile vinavyotelwa sehemu moja kwenda nyingine mikoa tofauti,sabuni,mahindi yote yapo huku huku kwetu,bei itapanda kwa sababu zipi?
Nimeamini YEHODAYA na ISIS wana uafadhali wa akili kuliko wewe. Yaani hapo unaona umetoa point ya kuinanga CHADEMA wakati kiuhalisia umeipromote!? Kumbe unajua anayeweza kutetea wananchi ni CHADEMA na siyo ccm?Chadema wako bize na Membe huku Mbowe akisotaSegerea
Wapi huko nije nilangue Mkuu¡?Duh sukari sisi kwetu ni 2000
Watanzania ni waoga kutetea maslahi yetu.....tunachonga sana......wenzetu warusi bei ya mkate ikipanda wanaandamana.......wacha tukandamizwe tuu.....Hiv mbona hii maneno tunaiangalia tuu...yaan tayar 2400...na watu wako kimya tu fresh yaan.
France wanaandamana siku ya 5 leo.kenya waliandama.
Au wabongo tuko vzur nn kiuchum,ni mim tu ndo njaa kali
Akili ni nywele, yaani ndo akili yako iliishia hapo. Spea za baiskeli zinakwenda dukani kwa kutumia matako? Nyumbani kwako unakula mahindi bila kusaga maana mashine za kusaga wanatumia usafiri kusafirisha mahindi na wakulima wanatumia magari kupeleka mazao sokoni, Unadhani nani analipia hayo mafuta kama siyo wewe unayenunua huo unga? Mlipaji kodi siyo mfanyabiashara, ni mtumiaji wa bidhaa. Wafanyabiashara wanakusanya kodi kwa niaba ya TRA na wanatakiwa kuziwakilisha,Huku nilipo situmii chochote kinachohusiana na petrol /diesel au mafuta ya taa,ni mwendo wa baiskeli tu.
tumepatikana!Makada tupo bize ndani tunatwangana za uso......
Baiskeli yenyewe imeletwa na mafutaHuku nilipo situmii chochote kinachohusiana na petrol /diesel au mafuta ya taa,ni mwendo wa baiskeli tu.
Atatoka lini mkuuWe nawe si upake hio gari yako kama nilivopaki yangu mpaka Magu atoke madarakani?