Bei za mafuta kwa Desemba 2018 zapanda. Bei hizo kuanza kutumika Desemba 05


Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
11,513
Likes
9,896
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
11,513 9,896 280
Wenýe mamlaka weńyewe wanajiwekea poshô ya mafuta kwenye mishahara yao na pia hapo hapo wanatumia gari za ofisi.
Na hapo kuna mtumishi wa umma mwenye gari ambae anaishi kwa mshahara wa mwaka 2015 na bei ya mafuta ya mwaka huo na sasa bei ya 2018 bado anamshahara ule ule wa 2015.
Pato halisadifu gharama za maisha kabisaaaa
 
soine

soine

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
1,270
Likes
1,072
Points
280
soine

soine

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
1,270 1,072 280
Chadema wako bize na Membe huku Mbowe akisotaSegerea
Chadema inakutesa sana. Ndugu achana na nyumba ya watu koma na chama chetu huoni mtifuano ulioko kwetu?
 
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Messages
1,871
Likes
1,367
Points
280
Membejr

Membejr

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2017
1,871 1,367 280
Huku nilipo situmii chochote kinachohusiana na petrol /diesel au mafuta ya taa,ni mwendo wa baiskeli tu.
Dawa za hosp mnaletewa kwa baiskeli pia? Vp mbolea, watoa huduma mbalimbali, vyakula, nk vyaletwa kwa baik?
 

Forum statistics

Threads 1,237,061
Members 475,401
Posts 29,276,978