LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,145
- 11,191
Gari yenyewe ya danga lakoJamani acheni tu ongezeko la mafuta nchini wanasema eti ni bei imepanda kwenye soko la dunia hii sio kweli kuna nchi mafuta hadi yanawadodea halafu hatuagizi huko
Hapo traffic nao wakakamue 50000 mpaka laki kwa makosa madogo tu hivi jamani mnatuona wenye magari tuna pesa au. ,,,,,jamani hivi vitoy tunavyoviendesha wengine nusu ya pesa tulonunulia tulipewa au tulichangiwa,,,,kuwa na gari nchi hii imegeuka laana
Wenye maduka wanatia huruma sana biashara utadhani imelogwa...cc wa salooni na nguo tulizoea mtu anasuka nywele ya elfu 50 mpaka laki sahivi wapi?????maduka ya nguo napo pamedoda nguo hazinunuliki watu wanakimbilia mitumba halafu mjue 2019 ndo mwisho wa mitumba tz si mshaambiwa tuna viwanda vyenye nguo cash?
Umeme nao utapanda nimeambiwa nyie wenye taarif 4 mmezoea unit 75 kwa 10000 au units 40 kwa 5000 mjiandae wote mnarudishwa kwenye taarif 1 units 28 kwa ten....hutaki acha......hujui tupo kwenye lait track????uchumi unakuwa sana
Petrol imepanda bei, mafuta sasa,,, mfumuko wa bei,,,, Dola sasa hivi 2400 nakufaa....nilipoingia nilikuta dola moja 5000 sasa hv imeshuka
Mpaka 2020 tutakua tushaongea lugha moja
PLEASE: MNISAMEHE NILIWAHI KUJA NA UZI NIKIDAI VYUMA HAVIJAKAZA KIUKWELI HALI NI MBAYA SANA KWELI TUTAISHI KM MASHETANI TU 2020 TUJITAFAKARI UPYA
MIMI SIJAFURAHI KABISA NIKISIKIA MTU ANASEMA "TUNAENDA VIZURI MARA "TUPO KWENYE LAITI TLACK NAPATWA NA HASIRA SANA SITAKI UJINGA SASA HIVI