Bei za gesi za majumbani zimeongezeka

Bei za gesi za majumbani zimeongezeka

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,880
Taarifa tu

Kwanza nawapa pole woote kwa msiba wa ndugu yetu King Majuto(rip) na pole sana kwa Mwenyekiti wa kamati za mazishi za wasaniii naona kazi inaendelea

Kupanda kwa gesi

Kuanzia jana ORYX kubwa zimeanza kuuzwa 51,000 na ndogo 22,000. Bei hizi ni elekezi kufuatana na kampuni husika

Mihan wamepandisha bei nao kuanzia leo tutawapa mrejesho bei za kununulia mchana.
 
Pdidy kwa nini mikoani petrol diesel na gas inauzwa bei rahisi kuliko dsm?ina maana ewura wamelazimishwa kupanga bei ya juu kwa dsm kama ilivyo umeme???mikoani sh 2200 dsm sh 2400 vituo vya Total
 
Pdidy kwa nini mikoani petrol diesel na gas inauzwa bei rahisi kuliko dsm?ina maana ewura wamelazimishwa kupanga bei ya juu kwa dsm kama ilivyo umeme???mikoani sh 2200 dsm sh 2400 vituo vya Total
Hahahaaaaaa mikoaaaaaaaaani??

Rwandaaa wanapitishaaa hapaaa petrol na diesel waooo n beicheee kabisaaa nawaza awalipiikodi hayooomafuta amalah
 
Hahahaaaaaa mikoaaaaaaaaani??

Rwandaaa wanapitishaaa hapaaa petrol na diesel waooo n beicheee kabisaaa nawaza awalipiikodi hayooomafuta amalah
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa inakujae aisee, yani sisi wanachi tunanyonywa sana na haya makodi uchwara
 
Hahahaaaaaa mikoaaaaaaaaani??

Rwandaaa wanapitishaaa hapaaa petrol na diesel waooo n beicheee kabisaaa nawaza awalipiikodi hayooomafuta amalah
Uganda tu nmeona gesi anazo supply huko baresa za United petroleum bei yake ni chini ukilinganisha na huku tz...hii nchi kuna shida mahali!syo Bure

Ovq
 
Uganda tu nmeona gesi anazo supply huko baresa za United petroleum bei yake ni chini ukilinganisha na huku tz...hii nchi kuna shida mahali!syo Bure

Ovq
Ni shilingi ngapi za kitanzania kiongozi??
 
Bado nchi inapigwa pasi. Tumeanzia mikoani Dar mlie tu.
Kuhusu sukari znz kua bei chee na kutokuja Dar ni kwamba tunaanza kuwaruhusu walete chumvi kwanza mambo yakiwa matamu hata sukari wataruhusiwa kuleta
 
Kama gesi tunayo,ilitakiwa,mtungi mdogo 10,000,halafu mkubwa 20,000.
Hivi ndo vitu vya muhimu,waziri husika afanye,
Umeme uwe chini,etc
Sikuhizi hasikiki,au Yuki likizo huyu muhongo
 
Juzi nimenunia 45,500 leo imefika 51,000?? Au hiyo bei ni huko kwenu tu mbona imepaa ivyoo anyway ntaulizia badae
 
Kama gesi tunayo,ilitakiwa,mtungi mdogo 10,000,halafu mkubwa 20,000.
Hivi ndo vitu vya muhimu,waziri husika afanye,
Umeme uwe chini,etc
Sikuhizi hasikiki,au Yuki likizo huyu muhongo
Mkuu hapa hatuna hiyo gesi ya LPG,bali ya kwetu ni NATURAL,ambayo kwa sasa haijaanza kuwekwa kwenye mitungi ila wana kuunganishia bomba hadi kwako ndio unaitumia,kwa baadhi ya maeneo ya dar watu wanatumia.
 
Kama gesi tunayo,ilitakiwa,mtungi mdogo 10,000,halafu mkubwa 20,000.
Hivi ndo vitu vya muhimu,waziri husika afanye,
Umeme uwe chini,etc
Sikuhizi hasikiki,au Yuki likizo huyu muhongo
Aliye likizo na mambo ya current affairs ni wewe mkuu.

Lakini nisikushangae, maana hata vijijini nasikia bado wanaelewa kuwa bado Nyerere anatawala nchi hii.
Ama wanaoelewa kuwa alishakufa basi cheo cha urais wao wanakielewa kuwa ni unyerere.

Na kwamba nyerere wa Tz kwa sasa ni Magufuli.
 
Back
Top Bottom