Bei za gesi za majumbani zimeongezeka

Bei za gesi za majumbani zimeongezeka

Hahahaaaaaa mikoaaaaaaaaani??

Rwandaaa wanapitishaaa hapaaa petrol na diesel waooo n beicheee kabisaaa nawaza awalipiikodi hayooomafuta amalah
[emoji23] [emoji23] huu uandishi umenikumbusha Gwajima siku ile anamnanga Pengo, alikuwa anaongea kwa kuvuta kila neno namna hii. Wewe mkuu ni mdogo wake?
 
Hahahaaaaaa mikoaaaaaaaaani??

Rwandaaa wanapitishaaa hapaaa petrol na diesel waooo n beicheee kabisaaa nawaza awalipiikodi hayooomafuta amalah

Tatizo hapa bongo kwenye mafuta kuna kodi zaidi ya 10,kamwe mafuta hayawezi kuwa cheap.
 
Hahahaaaaaa mikoaaaaaaaaani??

Rwandaaa wanapitishaaa hapaaa petrol na diesel waooo n beicheee kabisaaa nawaza awalipiikodi hayooomafuta amalah
Rwanda faranga ngapi mkuu tulinganishe na kwetu
 
Kodi za mafutaaa n KUBWA sana hapakwetu..wakipunguza NAHISI HATA guest sinza bei zitapungua
 
Aliye likizo na mambo ya current affairs ni wewe mkuu.

Lakini nisikushangae, maana hata vijijini nasikia bado wanaelewa kuwa bado Nyerere anatawala nchi hii.
Ama wanaoelewa kuwa alishakufa basi cheo cha urais wao wanakielewa kuwa ni unyerere.

Na kwamba nyerere wa Tz kwa sasa ni Magufuli.
Kwani waziri wa nishati na madini nani skuhizi?
 
Hivi si tuliambiwa gesi ile ya Mtwara ikikamilika gesi zitashuka bei?
 
pesa c tumenunulia 787 , ili tujifananishe na wale, ukata unazid tunakamuliwa inunuliwe nyingine kabla ya Dec, kwel acha kidumu kile cha kijani, who's care
 
Uganda tu nmeona gesi anazo supply huko baresa za United petroleum bei yake ni chini ukilinganisha na huku tz...hii nchi kuna shida mahali!syo Bure

Ovq
Bakhresa huyu huyu wa Azam Tv na Azam Fc?
 
Back
Top Bottom