Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,284
Zimbabwe tractor massey ni 10mil ya hukuWapi ntapata trekta ya kulimia iwe mtumba au mpya kwa bei nafuu, Pia naomba ushauri ni aina gani ni bora
Zimbabwe tractor massey ni 10mil ya hukuWapi ntapata trekta ya kulimia iwe mtumba au mpya kwa bei nafuu, Pia naomba ushauri ni aina gani ni bora
Haaaah naziona kama ndogo sana zile tractor ndio maana watu wenye ardhi yenye mchanga wanazipenda sana kama kondoa,kibaigwa nk.mkuu hiyo inauwezo wa kufukua udongo wa aina yoyote huna haja ya kuwa na wasiasi na hiyo mashine ila nzuri iwe na engine model A4 212
Transport cost kutoka zimbambwe inakuwaje?Zimbabwe tractor massey ni 10mil ya huku
Ila wale jamaa kilimo walifanya sana haya madude watakua nayo yakutosha mno.Zimbabwe tractor massey ni 10mil ya huku
Tufahamishe logistic kutoka kule kuja huku tanzania.Zimbabwe tractor massey ni 10mil ya huku
Kuna zingine nimeangalia leo baada ya kuniambia zimbabwe zipo za bei rahisi nimeiona zipo mpaka za 2 mil ya bongo sasa sijajua usafiri unakuwaje kutoka kule kuja huku,nimeona tractor massey 290 kwa dollar 276,000 ya zimbabwe.Zimbabwe tractor massey ni 10mil ya huku
Wapi ntapata trekta ya kulimia iwe mtumba au mpya kwa bei nafuu, Pia naomba ushauri ni aina gani ni bora
Hii haiwezi, hii ni kulimia mahindi kibaigwa tu165 kwenye mashamba ya mpunga Mbalali inaweza kweli mkuu na ni 2WD?
namie naongezea ka anataka trekta ya maisha achukue mashine ambazo ni common hasa hapa kwetu Tz ambazo ni MF na baadhi ya John Deer, hizi nyingine ni kamari hasa kwa muda mrefuKama unataka trekta la kulima sehemu yoyote chukua new holand price ni approximately 40mil au chukua swaraj 788 price 35mil.
Kama unataka trekta za kukodi au kununua kibaigwa zipo kama njungu nyingi sana
John Deer model gani mkuu?namie naongezea ka anataka trekta ya maisha achukue mashine ambazo ni common hasa hapa kwetu Tz ambazo ni MF na baadhi ya John Deer, hizi nyingine ni kamari hasa kwa muda mrefu
Tractor nizungumziazo mimi si hizi za bara hindi ila ni zile toka nitoke yani kwa wale watengenezaji wenyewe kama vile UingerezaJohn Deer model gani mkuu?
Zile original za wazungu au hizi za kisasa za kihindi na kichina?
Kwa massey ferguson sawa.Tractor nizungumziazo mimi si hizi za bara hindi ila ni zile toka nitoke yani kwa wale watengenezaji wenyewe kama vile Uingereza
bongo si nyingi sana ila kenya zipo zakutoshaKwa massey ferguson sawa.
Lakini zile John Deere zenyewe original si ndiyo ambazo spea zake bongo hazipatikani?
lete mrejesho mkuuKuna zingine nimeangalia leo baada ya kuniambia zimbabwe zipo za bei rahisi nimeiona zipo mpaka za 2 mil ya bongo sasa sijajua usafiri unakuwaje kutoka kule kuja huku,nimeona tractor massey 290 kwa dollar 276,000 ya zimbabwe.