Mtajie na bei na zinakopatikana.Tractor ni Massey fuguson pekee ndo ya ngumu na inayo mfaa maskini
bei sijui ila wapo pugu road kabla y kufik Air port ukitokea kwenye fly over za Magu mkono w kuliaMtajie na bei na zinakopatikana.
Halafu update MF 385 acha tu Aiseee lazima unuke pesa!!! Nashangaa DSM MTU ana Massey anazolea taka!??Tractor ni Massey fuguson pekee ndo ya ngumu na inayo mfaa maskini
haha haaa hesabu 50,000/= ila wakati mwingine sishangai maana najua management huko porin ni tabu ukizingatia wengi wamiliki wanataka kukaa mjiniHalafu update MF 385 acha tu Aiseee lazima unuke pesa!!! Nashangaa DSM MTU ana Massey anazolea taka!??
Ukiipata leta niisimamie nipo mgagao utafurahi mm ni mtumishi WA umma naipenda mno Massey nikiona inapita huwa nasimama kuichekihaha haaa hesabu 50,000/= ila wakati mwingine sishangai maana najua management huko porin ni tabu ukizingatia wengi wamiliki wanataka kukaa mjini
we ndo huwezi maana nikisema nalipeleka dom. mara moro , mara pwani utaweza kutembea nalo? kiufup si rahisi mkuuuUkiipata leta niisimamie nipo mgagao utafurahi mm ni mtumishi WA umma naipenda mno Massey nikiona inapita huwa nasimama kuicheki
Mkuu kwa tunaojua siri ya Massey Ferguson itamfaaa sana,hasa 165Tractor ni Massey fuguson pekee ndo ya ngumu na inayo mfaa maskini
165 kwenye mashamba ya mpunga Mbalali inaweza kweli mkuu na ni 2WD?Mkuu kwa tunaojua siri ya Massey Ferguson itamfaaa sana,hasa 165
2WD itakwama kila mara kwenye tope huko inayotakiwa na hasa maeneo ya mashamba ya mpunga ni New Holland hili ni tractor bora sana linaweza kulima kwa Massa mengi kuliko matrector mengine shida linauzwa bei hata lililotumika kuliko brand zingine...Sema upate lenyewe maana kopi zake kutoka Pakistan na kwingineko yapo sasa hivi...165 kwenye mashamba ya mpunga Mbalali inaweza kweli mkuu na ni 2WD?
mkuu naunga mkono, ila ford spare part zake ni kichaa japo ile trekta imetengenezwaaaNgoja nifafanue kidogo kuhusu Tractor kati ya Masey,Ford na john deer..
Masey ni tractor nzuri ila kwa baadhi ya namba 135,165,270,290 na 375 hizi spare zake zipo za kumwaga na kwa series inayoendelea hapo spare zake mpaka kuagiza na pia hizi masey sio kwa ajili ya kulimia ardhi ngumu kama ya Ruvu au Dodoma kuna maeneo yenye ardhi ngumu ambayo inahitaji Ford series kuanzia 500 mpaka 600 au John Deer kubwa kwa uimara wa Ford ndio maana unaona hata Mafinga wanatumia kuvutia magogo mazito na kwa muda mrefu sio MF..
Kwa kulimia MF spare zake za kumwaga na bei ipo chini sio kama Ford au John deer...
mkuu hiyo wengine waiita mbuni ka ni mashamba makubwa au anapata tenda kubwa hua inakufa mapema injini alafu haitengenezeki ikatukia, labda ubadilishe injini uweke nyingine labda ya 185, 178, au 290 n.k ukifanyahivyo utakuwa umemaliza tabu yakeMkuu kwa tunaojua siri ya Massey Ferguson itamfaaa sana,hasa 165
mkuu 2WD kwenye mashamba ya mpunga ni tabu. ila kwa bei za kawaida unaweza pata 4WD massey furguson kama MF290 na series nyingine ambazo kwa mtu mmoja mmoja zinanunulika, hayo ma new holland mtu wa kipato cha kawaida hawezi nunua2WD itakwama kila mara kwenye tope huko inayotakiwa na hasa maeneo ya mashamba ya mpunga ni New Holland hili ni tractor bora sana linaweza kulima kwa Massa mengi kuliko matrector mengine shida linauzwa bei hata lililotumika kuliko brand zingine...Sema upate lenyewe maana kopi zake kutoka Pakistan na kwingineko yapo sasa hivi...
kwa aina gani mkuu, na ni mpya au useed, lazima uwe specific ila kwanzia 25mil na kuendelea unapata tractor hapa bongo ambayo ni used,Bei mbona hamsemi?!