Bei ya nyama kilo Moja Tsh 14,000

Bei ya nyama kilo Moja Tsh 14,000

Wakati kenya mshahara wa mlinzi ni Laki 6
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅. Unakaa Nairobi sehem gan? Unajua bila 15k kimasikin mlo wa sku nzima hautoshi? Mama ntilie ya 1500 bongo huku ni 6000 hadi 8000. Welcome to CBD
 
Mpaka wanakotoka ng'ombe wapelekwao Dar bei ni hizohizo za Dar!

Ila bidhaa zinazozalishwa viwandani huko Dar&Pwani ni cheaper Dar kuliko mikoani.

Bodi ya nyama iingilie kati km inavyofanya kwenye vigogo vya buchani.
 
Back
Top Bottom