muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
Tafuta elf 50 yako, wik end jioni nenda Ferry, ukatafute vibua...utainjoi.
Hiyo ni ile iliyopikwa kabisa, mbichi bei cheeKitimoto hapa dar tunapata kwa mushii @ 14000 per 1kg.
Fugeni kuku12,000
Iendelee kupanda hivyohivyo wasiopenda mboga za majani waanze hata kuzifikiria Tu!
Bei gani huko mbichiiiiHiyo ni ile iliyopikwa kabisa, mbichi bei chee
Nionyeshee bandaa lako 😊😊😊Fugeni kuku
Ngoja nifike hoMeNionyeshee bandaa lako 😊😊😊
Safiiiii SANAAAAAANgoja nifike hoMe
Kufuga muhimu!,lakini nyama iendelee kupanda!Fugeni kuku
Watapunguza wenyeweKufuga muhimu!,lakini nyama iendelee kupanda!
8kBei gani huko mbichiiii
Nilisema hili tangu mwanzo, hii serikali inachapisha tu pesa ili kulipa nyongeza ya mishahara, ndio matokeo yake, mshahara unapanda na vitu vinapanda, mnarudi palepaleMishahara imepanda tegemeeni maisha kupanda