Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,485
- 3,226
Hapa Ujiji ni elfu 8 kilo tena steki
Eka namba nikutumie nauliInabidi nihamie huko
Huku Arusha 10000Kitimoto hapa dar tunapata kwa mushii @ 14000 per 1kg.
Kwani wananchi wote walipata nyongeza?Kelele za nyongeza zimekuwa nyingi sana. Wacha Ipande tu
KeleleKwani wananchi wote walipata nyongeza?
😅😅😅Falaaa, ni bora tupate ebola kuliko kutoa 14k kwa kiloTuugue ebola