Bei ya mchele haikamatiki mtaani inakaribia 3,000

Jamani hili ni janga la taifa. Hivi wananchi hatuna utamaduni wa kutunza hakiba au wafanyabiashara wanakomoa wakitaka kutengeneza faida juu ya faida? Juzi juzi tu mchele mzuri Dar ulikuwa unapatikana kati ya 1,200 hadi 2,000. Sasa hivi kilo moja hadi 2,800??
Acha urongo. Mchele wa 1200 uliuona wapi Dar ? Mchele mzuri 2000 mpaka 2500
 
hahahahahahahahahaahah hii hali ngoja iendelee hivi hivi mpaka nikimaliza kuvuna mpunga wangu ....alafu ni mwendo wa kusfirisha tani moja bila ushuru😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Jamani hili ni janga la taifa. Hivi wananchi hatuna utamaduni wa kutunza hakiba au wafanyabiashara wanakomoa wakitaka kutengeneza faida juu ya faida? Juzi juzi tu mchele mzuri Dar ulikuwa unapatikana kati ya 1,200 hadi 2,000. Sasa hivi kilo moja hadi 2,800??
Kaulimbiu ya awamu hii "watu waishi kama mashetani"
 
Lakini tumeambiwa mfumuko wa bei umeshuka kutoka %6-3 hebu tathmini hapo
 
Kama ni familia ya watoto wawili, baba, mama, dada wa kazi na dereva ni kilo mbili mlo mmoja. Bado mboga, juice na salad
Kaka unaye dereva ?Kuna siku utakuja kuona anaendesha hilo gari lako la miguu miwili. Halafu anakula kwako ? Au wewe ni mpare hata mshahara humpi unamkopa mtt wa watu.
 
Huku kwetu wakulima wameshavuna mpunga lkn bei ya mchele ni 2400 kwa kilo 1
 
MHESHIMIWA KASHASEMA MFUMUKO WA BEI UMESHUKA HASWA KWENYE VYAKULA HIVYO MSILETE UCHOCHEZI
 
Kama ni familia ya watoto wawili, baba, mama, dada wa kazi na dereva ni kilo mbili mlo mmoja. Bado mboga, juice na salad
Dereva? Uwe na dereva wa kuendesha familia halafu ulalamike kununua kilo mbili za mchele, ie Tsh. 6,000 then huyo dereva yupo kwenye list ya wanaokula home pamoja na mshahara...
Wonders shall never end...
 
Jamani hili ni janga la taifa. Hivi wananchi hatuna utamaduni wa kutunza hakiba au wafanyabiashara wanakomoa wakitaka kutengeneza faida juu ya faida? Juzi juzi tu mchele mzuri Dar ulikuwa unapatikana kati ya 1,200 hadi 2,000. Sasa hivi kilo moja hadi 2,800??

Utashuka tu Mkuu, wanakaribia kuvuna.....
Pole sana kwa haya maswaibu yalikukuta.
 
Tuwe wavumilivu mavuno yaanze,mchele utashuka bei mno mwaka huu
 
Back
Top Bottom