shlingi laki 3.3 kwa lita 2000,na laki 4.5 kwa 3000ltsWakuu naomba kujuzwa bei ya matank ya kuhifadhia miji ya lita 2000 au 3000, simtank au polytank kama sijakosea. Natanguliza shukurani wakuu.
Kama utahitaji ya 'dili' kwa bei chee ni'PM (Kama ni mkazi wa Dar)
Hayo ya dili labda uwe unawasafirishia mpaka yanapokwenda,Kama utahitaji ya 'dili' kwa bei chee ni'PM (Kama ni mkazi wa Dar)
...hiyo 350,000/- si kweli...Simtank ni around 500,000/- na polytank ni arround 450,000/- hv...kwa lita 3,000/-Lita 3000 uneza kupata kwa sh 350,000/=.
Nenda pale Simtank kiwandani mbozi road utapata kwa bei ya cheeWakuu naomba kujuzwa bei ya matank ya kuhifadhia miji ya lita 2000 au 3000, simtank au polytank kama sijakosea. Natanguliza shukurani wakuu.
Inabid nitimbe hapo j3Nenda pale Simtank kiwandani mbozi road utapata kwa bei ya chee
Hahaaa pole risiti tu...Hayo ya dili labda uwe unawasafirishia mpaka yanapokwenda,
Maana njiani bila risiti ni Msala
Hamna bei chee asee. Kiwandani rejareja ni ghali kuliko madukaniNenda pale Simtank kiwandani mbozi road utapata kwa bei ya chee