Hili Gari Ni Peogeut 404 Miaka ya 1964/69 Lilikua Likiuzwa Tsh.3000/=

FocusedTz11

New Member
Nov 1, 2023
2
5
Kama ulipanda hii gari ukiwa mdogo punguza kula chumvi, sukari na nyama nyekundu.Na Pia Nawaambia Vizazi Viipya Hili Gari Ni Peogeut 404 Miaka ya 1964/69 Lilikua Likiuzwa Tsh.3000/= Mpaka 3500/= Mpyaaaaa !🫵. Bei ya kilo moja ya sukari au bia moja na maji makubwa
IMG-20240131-WA0152.jpg
 
Uzi wako hauja zingatia viwango vya mfumuko wa bei na thamani ya fedha yetu kwa kipindi hicho. Imagine Mwaka 1968 Gavana wa Benki kuu pamoja na mwalimu walikua wanapokea mshahara wa 5000/=
Screenshot_2024-02-02-20-39-52-184_com.opera.browser.afin.jpg
 
Back
Top Bottom