Bei ya mahindi kwa sasa sokoni

Bei ya mahindi kwa sasa sokoni

wakuu naomba kuuliza bei ya Mahindi kwa sasa Gunia ipoje?

HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.

Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000

Tutakutumia ulipo.

FARMRICH Agro-Enterprises Ltd
Email: farmrichagro@gmail.com
Call: 0755325442

JINSI INAVYOFANYA KAZI
Mifuko hii hairuhusu hewa kuingia Wala kutoka. Ukifungia mazao katika mifuko hii, mazao hutumia hewa yote ya oxygen iliyopo mifukoni na kubakisha Carbondioxide.
Wadudu wanahitaji Oxygen ili waishi. Wakikosa Oxygen hufa ndani ya siku Saba.
ONYO: Usihifadhi mbegu humu, inaweza kufa.

JINSI YA KUTUMIA
Hakikisha mazao yamekauka vema. Safisha mazao yako kwa kuhakikisha Vumbi Na uchafu mwingine vimetolewa.

Weka mazao katika mfuko. Funga mfuko wa kwanza kwa kamba, funga wa pili, funga wa tatu.

Weka mifuko sehemu salama ili isitobolewe Na misumari ama vijiti. Tumia njia zingine kudhibiti wadudu kama panya nje ya mfuko.
ONYO: Usishone mfuko

MUDA WA MATUMIZI
Mfuko huu Bado uko salama mpaka tu pale utakapokua umetoboka.
Waweza kutumia zaidi ya misimu mitatu.

MAELEZO ZAIDI
FARMRICH Agro-Enterprises Limited
farmrichagro@gmail.com
www.farmrich.wordpress.com
0755325442
 
mkuu sijui kwa kibaigwa mi nipo mjini ila kuna sehemu inaitwa godegode mpwapwa wanauza debe kwa 7500/- hivyo gunia inategemea na
linaingia debe ngapi
Atleast umeonge ukweli

Sent from my Lenovo A7020a48 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimepewa muongozo tu na mdau mmoja wa mtaka kuwa karatu kuna mzungu analimaga mtama balaa yy mbegu yake hailiwi na ndegu. Nami ndo nipo kwenye mchakato wa kumsaka.
hiyo isiyoliwa na ndege na kwa binadamu si inaweza kuwa shida baadaye maana hawa wazungu da.
 
Nyanda za juu kusini.

Gunia la kilo 100 ni elf 50000

Sent from "La -Vista"
 
Back
Top Bottom