Kwa mkulima au sokoni kiteto?KITETO 45 ELF
mmmh kilosa IPI?Kilosa Morogoro gunia ni 40,000/=
Mshangao bei juu kuliko kawaida mkuuDebe 1ni 19,000/- GUNIA LA DEBE 6 NI 114,000/-
Hii bei ya mloo sokoni au kwa mkulima?Mkoa wa mpya wa Songwe ni shilingi 42'000/= kwa gunia la debe sita sawa na sh 7000/= kwa debe.
KITETO 45 ELF
Debe 1ni 19,000/- GUNIA LA DEBE 6 NI 114,000/-
Mkuu hiyo bei nimetoka juulizis mwenyewe soko kuu la dodoma mjini jana nikapatwa na mshangao nikaona niuze mzigo fasta nikanunue mwingine ndo niuweke stooMshangao bei juu kuliko kawaida mkuu
Pengine iko juu kuliko mikoa mingine aisee
Unataka kunambia hiyo bei ni jumla jumla?Mkuu hiyo bei nimetoka juulizis mwenyewe soko kuu la dodoma mjini jana nikapatwa na mshangao nikaona niuze mzigo fasta nikanunue mwingine ndo niuweke stoo
.mkuu labda yapungue kuanzia kesho baada ya kupigwa stop kupelekwa njeInashangaza, kama Kiteto ambayo ipo karibu na Dodoma, bei ni 45 elfu, iweje Dodoma iwe laki na 14? wakati Kiteto mavuno ni kidogo sana. Au huyu wa Kiteto kadanganya?
.mkuu labda yapungue kuanzia kesho baada ya kupigwa stop kupelekwa nje
Daa inashangaza aiseeMkuu hiyo bei nimetoka juulizis mwenyewe soko kuu la dodoma mjini jana nikapatwa na mshangao nikaona niuze mzigo fasta nikanunue mwingine ndo niuweke stoo
.mkuu labda yapungue kuanzia kesho baada ya kupigwa stop kupelekwa nje
lakini hiyo ndo bei ya mahindi soko kuu la dom na mtama ni 22,000/- kwa debe[/QUOT
Daaa safi sana
Unataka kunambia hiyo bei ni jumla jumla?[/QUOT
jumla kama una hraka 15 kwa debe kama hauna haraka saana 17500 na kama rejareja ndo 19000 kwa debe
Hii bei hapana!! mwezi wa sita nilinunua hapo kwa tsh 700per kg na hapo mavuno yalikuwa hayaja changanya kama sasa.SOKONI DOM 114,000/= DEBE 19,000/-
mkuu ulinunuq mtama au mahindi na je uliuliza bei ya debe pia?Hii bei hapana!! mwezi wa sita nilinunua hapo kwa tsh 700per kg na hapo mavuno yalikuwa hayaja changanya kama sasa.
Mkuu bei mjini ni per kg..shuhuli za debe cku izi ni chache labda vijijini..na mtama ilikuwa 650 japo kwasasa unazidi poromoka mpaka 400-500mkuu ulinunuq mtama au mahindi na je uliuliza bei ya debe pia?
Mkuu ina mana mtama una bei kubwa kuliko mahindi?.mkuu labda yapungue kuanzia kesho baada ya kupigwa stop kupelekwa nje
lakini hiyo ndo bei ya mahindi soko kuu la dom na mtama ni 22,000/- kwa debe