NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
kwa dom mtama bei ni kubwa wenyeji hutumia mtama kuliko mahindi,wiki iliyopita uwele ulikuwa elfu 25 kwa debe,sasa imeshuka kidogo.Mkuu ina mana mtama una bei kubwa kuliko mahindi?
kwa dom mtama bei ni kubwa wenyeji hutumia mtama kuliko mahindi,wiki iliyopita uwele ulikuwa elfu 25 kwa debe,sasa imeshuka kidogo.Mkuu ina mana mtama una bei kubwa kuliko mahindi?
Daaa mm pia nashangaa dodoma mjini ananiambia debe badala ya kiloMkuu bei mjini ni per kg..shuhuli za debe cku izi ni chache labda vijijini..na mtama ilikuwa 650 japo kwasasa unazidi poromoka mpaka 400-500
Kuna jamaa nimemuliza Jana kwa simu kasema kwa kilo ni tsh.580 kwa Dodoma mjiniDebe 1ni 19,000/- GUNIA LA DEBE 6 NI 114,000/-
Mkuu upatikanaji wake vip? Kwa mfano gari ya tani 32 mtu anaweza jaza kwa siku ngapi?Kilosa Morogoro gunia ni 40,000/=
Yote hayo unayapeleka wapi Mkuu? Itatuaa njaa nduguzo.Mkuu upatikanaji wake vip? Kwa mfano gari ya tani 32 mtu anaweza jaza kwa siku ngapi?
Machache sana hayo mkuu..kama unayo mengi sema nikuonyeshe pakupeleka upige pesaYote hayo unayapeleka wapi Mkuu? Itatuaa njaa nduguzo.
Nambie Mkuu.Machache sana hayo mkuu..kama unayo mengi sema nikuonyeshe pakupeleka upige pesa
Uwezo wako tani ngapi nikupe orderNambie Mkuu.
Bado mchanga. 8 hadi 10Uwezo wako tani ngapi nikupe order
Mkuu siyo lazima upakie tani zote kwa siku moja unaweza chukua hata tani 100 ukaweka delivering time ndani ya wik au zaidi uwe umemaliza..kulingana na uwezo wako..sema hapo pia changamoto utakutana nayo kwenye mabadiliko ya bei kama utachukua muda mrefu sana.Bado mchanga. 8 hadi 10
Hupatikanaji wake ukoje chief?Bondo Handeni Mahndi Gunia 35alfu
Hiyo 35 ni debe ,6?Bondo Handeni Mahndi Gunia 35alfu
Morogoro,mngeta 35000,gunia mkuu..kwa mkulimaMkoa wa mpya wa Songwe ni shilingi 42'000/= kwa gunia la debe sita sawa na sh 7000/= kwa debe.
Mkuu wa handeni naomba naomba contact za mtu wa huko.Bondo Handeni Mahndi Gunia 35alfu
mkuu hayo ya kweli?Morogoro,mngeta 35000,gunia mkuu..kwa mkulima
Mkuu wa handeni naomba naomba contact za mtu wa huko.