bei nzuri wenye hela wachangamkie hiyo dili tuje tuwauzie tena kwa laki2 baadaye

Debe6Hiyo 35 ni debe ,6?
Mkuu wa handeni naomba naomba contact za mtu wa huko.
Debe6Hiyo 35 ni debe ,6?
Upatikanaji wake ukoje mkuu?Ukweli wa kuwa gunia ni Tsh 35,000-38,000 ni kweli niliwasiliana na jamaa yangu fulani jana...
Upatikanaji wake ukoje mkuu?
Gunia 250
Zinapatikana kwa muda gani?
Sintasahau nilivyo nunua mtama kilo 5000 January na sijarudisha hata mbeguMkuu bei mjini ni per kg..shuhuli za debe cku izi ni chache labda vijijini..na mtama ilikuwa 650 japo kwasasa unazidi poromoka mpaka 400-500
Kitini ndo nn mkuuMoshi kitini 3500/=
Siwezi kuingilia biashara yenu ila ukihitaji tuwasiliane yapo mengi tu kwa 40000M
mmmh kilosa IPI?
Jamaa yupo uko ananunua 55 mkuu
Pole mkuu.changamoto gani ulikutana nayo?Sintasahau nilivyo nunua mtama kilo 5000 January na sijarudisha hata mbegu
Nn kilikusibu mkuu embu weka wazi, coz nataka niingie kwenye hicho kilimo mwaka huu..Sintasahau nilivyo nunua mtama kilo 5000 January na sijarudisha hata mbegu
JuaPole mkuu.changamoto gani ulikutana nayo?
Sikupata mvua zaidi ya unyevu wa shamba mbegu hazikuota vizuri.Nn kilikusibu mkuu embu weka wazi, coz nataka niingie kwenye hicho kilimo mwaka huu..
Pole sana kaka,Sikupata mvua zaidi ya unyevu wa shamba mbegu hazikuota vizuri.
Pia inahitaji uangalizi mkubwa wa ndege wanakula sana
utawekwa mlinziPole sana kaka,
Mm nataka nilime vuli zikianza huku pwani ya mkuranga..
Ila niko mbali na shamba, ndio bado nafanya utafiti jinsi ya kukabiliana na ndege..
Mkuu kuna mbegu nimeambiwa hailiwi na ndegu..embu na ww jaribu kuifwatiliaPole sana kaka,
Mm nataka nilime vuli zikianza huku pwani ya mkuranga..
Ila niko mbali na shamba, ndio bado nafanya utafiti jinsi ya kukabiliana na ndege..
Siwezi kuingilia biashara yenu ila ukihitaji tuwasiliane yapo mengi tu kwa 40000