Bei ya mahindi kwa sasa sokoni

Bei ya mahindi kwa sasa sokoni

Ila kuna jamaa anasema ana dawa ya kuzuia ndege, anauza 50,000/= kwa heka, yuko Sua. Ila bado sijamfuatilia nijue hiyo dawa ina fanyaje kazi..
 
Inashangaza, kama Kiteto ambayo ipo karibu na Dodoma, bei ni 45 elfu, iweje Dodoma iwe laki na 14? wakati Kiteto mavuno ni kidogo sana. Au huyu wa Kiteto kadanganya?
ama wa dodoma ndio kadanganya sababu na kibaigwa ni karibu pia vijiji vingi vya mpwapwa kuna mzigo wa maana tu kuanzia gulwe to kibakwe
 
Mkuu upatikanaji wake vip? Kwa mfano gari ya tani 32 mtu anaweza jaza kwa siku ngapi?
ila tuwe makini kwa wale tunaokwenda mashambani kununua mzigo jamaa zangu majuzi walikukutishwa mshiko wote na wazee wa hapa kazi
tuwe makini
 
ila tuwe makini kwa wale tunaokwenda mashambani kununua mzigo jamaa zangu majuzi walikukutishwa mshiko wote na wazee wa hapa kazi
tuwe makini
Hilo neno mkuu!! Kuna jamaa aliniita songwe huko ndani ndani kuchukua mtamaa...nimefika jamaa hana mzigo wowote alafu ananilazimisha ni lale pale pale kijijini nikaona chezoo hilo.
 
Mkuu nimepewa muongozo tu na mdau mmoja wa mtaka kuwa karatu kuna mzungu analimaga mtama balaa yy mbegu yake hailiwi na ndegu. Nami ndo nipo kwenye mchakato wa kumsaka.
Embu fuatilia mkuu tupeane taarifa..
 
Back
Top Bottom