Bei ya mahindi kwa sasa sokoni

Bei ya mahindi kwa sasa sokoni

bei nzuri wenye hela wachangamkie hiyo dili tuje tuwauzie tena kwa laki2 baadaye
Tena hata christmass haifiki!

Ngoja na mimi nifanye sasa maana daah

brain is the beautiful part of the body.
 
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.

Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000

Tutakutumia ulipo.

FARMRICH Agro-Enterprises Ltd
Email: farmrichagro@gmail.com
Call: 0755325442

JINSI INAVYOFANYA KAZI
Mifuko hii hairuhusu hewa kuingia Wala kutoka. Ukifungia mazao katika mifuko hii, mazao hutumia hewa yote ya oxygen iliyopo mifukoni na kubakisha Carbondioxide.
Wadudu wanahitaji Oxygen ili waishi. Wakikosa Oxygen hufa ndani ya siku Saba.
ONYO: Usihifadhi mbegu humu, inaweza kufa.

JINSI YA KUTUMIA
Hakikisha mazao yamekauka vema. Safisha mazao yako kwa kuhakikisha Vumbi Na uchafu mwingine vimetolewa.

Weka mazao katika mfuko. Funga mfuko wa kwanza kwa kamba, funga wa pili, funga wa tatu.

Weka mifuko sehemu salama ili isitobolewe Na misumari ama vijiti. Tumia njia zingine kudhibiti wadudu kama panya nje ya mfuko.
ONYO: Usishone mfuko

MUDA WA MATUMIZI
Mfuko huu Bado uko salama mpaka tu pale utakapokua umetoboka.
Waweza kutumia zaidi ya misimu mitatu.

MAELEZO ZAIDI
FARMRICH Agro-Enterprises Limited
farmrichagro@gmail.com
www.farmrich.wordpress.com
0755325442
Mkuu, ikihitajika pcs 20 naweza kuipata kwa mkoa wa Tanga.

brain is the beautiful part of the body.
 
mwenyewe nin gunia 100.

yako uko songea anayehitaji 50000 gunia.
pm tafadhari.
 
NITAFUTE KW BEI YA SH55,000/= KW MUHITAJI WA MAHINDI, SIPIMI KW KILO NAPIMA KWA NDOO YA LT20 DEBE 6 KW GUNIA CHANGAMKIA SASA, ZIPO GUNIA 500 SAFI
 
Back
Top Bottom