Bei ya Mahindi katika kila mkoa

Bei ya Mahindi katika kila mkoa

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,098
Reaction score
437
Habari Wakuu,

Naomba wadau/wajumbe waliopo katika mikoa au sehemu mbalimbali ya Tanzania mtusaidie kujua bei ya mahindi kwa ndoo ya lita 20.

Angalizo: Ni yale mahindi yanayotoa unga mwingi.
 
Dom elfu 20 soko kuu majengo
elfu 22 soko la miembeni
 
hivi mahindi mapya tutarajie mwezi wa ngapi?
dodoma ngo'ngo'na yanauzwa 21 elfu
 
Wajumbe tupeane tena updates za bei za mahindi mana kuna watu wanasema bei zimeshashuka mfano Mbeya ndoo ya lita 20 ni 12,000
 
Back
Top Bottom