Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,707
- 3,563
Ni sawa na mtu anayenunua gari Prado au vX ulinganishe na IST.
Mbezi inayozungumziwa hapa ni ile walikojazana wachagaSasa Mbezi beach utapafananishaje na Mbagara
Hata hiyo huwezi ifananisha na mbagaraMbezi inayozungumziwa hapa ni ile walikojazana wachaga
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?
Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?
Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.
Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
Wakati Puna kilichopimwa sq 400 Mili3Kuna maeneo bado yapo sio kwa Bei kubwa sana huko bunju. Mfano mwabepande,kinondo nk.hata milioni na nusu sqr miter 400 unapata
Puna ni wapi?Wakati Puna kilichopimwa sq 400 Mili3
Ni km vile anafosi VX na IST ni kitu kimoja...big differenceChanika vs Mbezi Beach?
Are you sane?
#Yamkosaji#Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?
Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?
Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.
Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
Yaani kweli mimi natokea kwetu kaskazini nifike ubungo niende chamaz mbagala kweli na wamakonde wafikie wapi.
Mwambie....Bei hizo zina wenyewe
MwambieKwanza ukajifunze maana ya LOW DENSITY kiwanja cha square meter 1500 kuendelea
na viawanja vya HIGH DENSITY changanyikeni square meter 400 hata parking hakuna ni baiskeli tu zinapita, wenyeji mnashida kwenye madirisha ya wenzetu km vibaraza, mkisilikiza wanachoongea wakilala, miundo mbinu hakuna, majisafi kwa majitaka hakuna mnasubiri mafuriko ya mvua
acha wenye pesa waiiwekee mafence / maukuta ya kozi 12 na alarm mlinzi na magari hao ndio wenye pesa (niseme ndio wenye akili wajipumzishe
Za kwake wewe kinakuuma nini?Mbezi Beach hakuna Kiwanja sasa hivi ndugu. Na ukitaka basi umfungashie mtu ambapo lazima atakuchaji si chini ya milioni 50
Hana lolote! wivu tu unamsumbua! she wish...Sasa Mbezi beach utapafananishaje na Mbagara