VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Inategeme ndugu yangu. Wanaume wenyewe hawa wa kizazi kipya! Ni kweli mwanamke ana nafasi kubwa ya kumbadilisha mme tatizo cku hizi tumejuana mwezi tu tunataka kuwekana ndani. By the time unajua weaknesses za mwenzako unakuwa ushachoka unafungasha virago.
Mafanikio yatakuja sa ngapi.
Kila mtu anaweaknesses sasa hata huko utakapoenda utakuta matatizo je utahama mara ngapi si bora ukabaki pale na kuzifanyia kazi hizo weaknesses
Ndugu mi nakuunga mkono ni kwel kabisa ili mwanaume aweze kuwa na mafanikio anahtaji kuwa na mke mwenye busara na busara.
La msingi tunapaswa kutambua kuwa mke au mume sahihi ni yule aliye tayar kuwa na wewe ktk hali yoyote na sio yule asie na kasoro. kwa sabab hakuna asiye na kasoro.
kweli kabisa Mkuu
"Perfect Love is not Finding a Perfect Partner, but Loving an Imperfect one Perfectly"
Practically imposible!
Wadau mimi nakubaliana kabisa na usemi hapo juu (ukibahatika kupata mwenzako mwenye Busara) basi ni msingi mkubwa wa maendeleo……… Na Opposite pia ni kweli Kama mwenza hafai hata ufanyeje hautafika popote……
Kwahiyo kina dada wenzetu…. tuache kulaumu kwamba huyu jamaa yangu hafai… huenda wewe ndio tatizo…… au hata kama ni yeye wewe unauwezo wa kumuweka katika mstari ulionyooka (athough uenda akawa hana shukrani akinyokewa akakutosa)
Kumbuka ingawa wanasema a Man is the HEAD of the Family…. Lakini Pia wanasema Mwanamke ni Shingo na ana uwezo wa kumgeuza mwanaume.
Mh jamani, wapo watu very wise and admirable lakini wake/waume zao ni vimeo hadi unashangaa...
ni kweli kabisa katika mahusiano lazima kila mmoja azitambue weakness za mwenzake na kuzikubali na kurekebishana. Pia kumuona mwenzako mbaya kwa weakness zake hiyo nayo ni weakness pia, so tunapaswa kuchukuliana madhaifu yetu kila mmja.
Ni kweli kuna watu hawabebeki.... na wana visa vya ajabu ajabu inakuwa vigumu kuvumilia..... lakini wengine wanaume ni wakawaida wana weaknesses ndogo ndogo lakini badala ya wake zao kuwasaidia na kuwaweka sawa wanazidi kuwasimanga na kuwaongezea stress. Wanawake ni viumbe walioumbwa na huruma.... ni rahisi kusamehe, na kama wakitumia busara wanweza kumbadilisha mtu asiyefaa akawa mtu wa mafanikio mfano unakuta mtu anakazi ambayo sio nzuri na haina kipato sana, kuliko mwanamke kumsimanga kwamba jamaa mvivu anaweza kumpa moyo na ushauri kwamba atafute kazi bora au afanye bidii....he madhaifu yako beba huko
mie siwezi madhaifu daily
likiisha dhaifu hili
unazua dhaifu lile
loool mi ntaweza wapi mie
kukonda tu na madhaifu ya mtoto wa mwanamke mwenzangu
huyo ni mtu mzima mwenzangu...............wan jf msinifiki rie vibaya mi ni mwadhirika wa ndoa
Wisdom ina categories nyingi..... mfano mzuri ni Bill Clinton alivyopata ile kesi yake na Monica... ni kwamba mke wake alistand by his man na in public alikuwa anamtetea lakini ndani Jamaa alipewa faini ya kulala kwenye kochi for some time. Hapa point yangu ingekuwa Hilary angekuwa mapepe nayeye angeanza kulalamika kwenye vyombo vya habari na kumuangamiza zaidi mume wake.
Je najiuliza mke wa Tiger Woods angekuwa Hilary na Mke wa Bill angekuwa mke wa Tiger kungekuwa na different outcomes ???
Its comes from the notion that nobody is perfect therefore unless you agree me there is no such thing as perfect love. Otherwise the only way around it is to love someone with all their imperfections.
Behind Every Stupid and unresponsible man..............................there is.......................