Augustking
Senior Member
- May 25, 2019
- 110
- 174
Ni fiverr. upwork kuna competition sana maswala ya kutuma bids nk unakuta muda mwingi unautumia kutafuta kazi badala ya kufanya kazi. lakini fiverr ni easy unatangeneza gig then buyer wanakutafuta wenyewe sema kwenye kutengeneza gig yako ndio sehemu ya muhimu sana katika search engine ya fiverr pale buyer anapokuwa anatafuta service kwa kuserch na kutokana na ufanyaji wako wa kazi kama response time na deliver ndio zinasaidia gig na profile yako yako kurank high kwenye fiverr search engineNi fiber or upwork? Naweza kukuchek pm,?