Augustking
Senior Member
- May 25, 2019
- 110
- 174
Yah 20% mi naona ni zaidi ya fair kwa kutumia platform yao.aisee
Yah 20% mi naona ni zaidi ya fair kwa kutumia platform yao.aisee
Nimepanda level tayari sema imenichukua takribani miezi 3
Sema nilichojifunza fanya kila namna usicancel order
Hongera Sana mkuu upwork nilitengenezaga profile 2015 nimeirudia na kujaza baadhi ya info. Next week naanza kuwa serious nayo naomba unitext whatsapp 0759702766 tubadilishane mawazo na nahitaji msaada wako huko upwork mi siyo mwenyeji sanaPiga kazi mkuu.
Online freelancing ni opportunity nzuri sana.
Ukishapata kazi ya kwaza ni rahisi kuendelea kupata kazi nyingine mara kwa mara.
Natengeneza hizi $100+ almost after three days.
View attachment 1494588
View attachment 1494589
Hongera Sana mkuu upwork nilitengenezaga profile 2015 nimeirudia na kujaza baadhi ya info. Next week naanza kuwa serious nayo naomba unitext whatsapp 0759702766 tubadilishane mawazo na nahitaji msaada wako huko upwork mi siyo mwenyeji sana
Delivering on time ni challange nyingine. Kazi sana, especially kwa unachofanya i assume. Unatumia payoneer kuwithdraw right?Nimepanda level tayari sema imenichukua takribani miezi 3
Sema nilichojifunza fanya kila namna usicancel order
Unapoteza hela nyingi sana. Nakushauri utumie payoneer. Very easy na inatoka moja kwa moja kutoka kwenye account na kuingia kwenye account yako ya benki. Pia account ya paypal is very unreliableHapana kuwithdraw funds huwa natumia PayPal then to safaricom then mpesa tz
inmaana iyo ni 2M mkubwaaa😆😆Piga kazi mkuu.
Online freelancing ni opportunity nzuri sana.
Ukishapata kazi ya kwaza ni rahisi kuendelea kupata kazi nyingine mara kwa mara.
Natengeneza hizi $100+ almost after three days.
View attachment 1494588
View attachment 1494589
Naomba mawasiliano yako mkuuNatumia western union( na moneygram) all the time, muhimu umalize kazi ndipo client anaridhia
Naomba nMb yako mkuu.Check dashboard hii ilikuwa mwezi wa piliView attachment 1391042