Freelancing: Tengeneza pesa mtandaoni (online)

thespotter

Member
Sep 12, 2019
17
6
Msaada namna ya kupata kazi kwenye freelancing.

Freelancing site ni mitandao ambayo unafungua account na unaweza kuajili au kuajiliwa kufanya kazi za kidigitali (web design, content writing, online research, graphics design etc) then unapokea malipo yako baada ya kusubmit kazi.

Hizi site ni za uhakika kwa maana mtu akitangaza kazi anafanya malipo kabisa but yale malipo yanakuwa on hold by the site owner, then baada ya kazi kumalizika na kukabidhiwa yule alietoa kazi ndio anaruhusu malipo.

Mfano Upwork, Freelencer, Fiverr, PeoplePerHour, Sprout Gigs n.k ni site ambazo mtu anaweza fanya freelancing.

Mimi naomba msaada personally napenda kutumia Upwork ama freelancer but nnapata shida sana kuwin kazi ya kwanza (nahisi hii imewapata wengi sana)

Mimi nimesoma Information Technology (IT).

Skills nilizonazo ni:
1. Web design/front end (HTML, CSS, JavaScript).
2. Web development/back end(SQL, PHP).
3. Graphics design kidogo
4. Database design
5. Networking

Lakini pia naweza kufanya kazi zingine kama zinazohusu typing, online research na mengine.

Ni mwepesi wa kujifunza skills mpya ambazo ziko related to programming au IT kwa ujumla.

Naomba msaada wa nini cha kufanya, skills gani za kutumia au kujifunza, site gani nzuri kwa malipo na unafuu wa kutoa pesa kwa bongo na mambo mengine.

Nawasilisha jambo langu kwenu natumaini hii thread itawasaidia na watu wengine pia. Naombeni madini yenu sasa kwa manufaa yangu na wengine wengi.
 
nnapata shida sana kuwin kazi ya kwanza (nahisi hii imewapata wengi sana)
 
Mi napiga Fiverr issue kubwa ni kigoogle online kila kitu kipo hapo. Nafikilia kufungua profile ya pili. Nikiwa na PC nyingine
 
3000 E-BOOK ya UPWORK
20220830_125423.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom