Before You Leave Your Doctor's Consultation Room Make Sure You Read And Approve....

Hahahhaha. . . . kwa hali hiyo wabongo wengi sana wangepatikana maana hata kusoma risiti tu hua wanaona tabu.
 
Hahahhaha. . . . kwa hali hiyo wabongo wengi sana wangepatikana maana hata kusoma risiti tu hua wanaona tabu.
Kwenye risiti acha tu...nina uhakika hapa lazima awe makini au either huyu mshikaji wakati anaandikiwa hii ED alikuwa bado ana hangover kwahiyo hata kusoma akaona uvivu...lol
 
Nasikia kila Jumatatu huwa unaenda na ED ofisini kuwa unaumwa...:eyebrows:...ngoja uje ukutane na ya hivyo siku usipomtoa daktari wako na wekundu

huyo Doc ana yake bana
Mi si nimemfuata nataka ED sasa mambo ya kuniandikia kulwa kila jumatatu ndo zangu ni mambo gani haya
Mi namtoaga sana Doc wangu na wekundu anaandika vizuri kabisa kuwa mi mgonjwa sihitaji kuiona pc ya ofc kwa siku hiyo
 
Kwenye risiti acha tu...nina uhakika hapa lazima awe makini au either huyu mshikaji wakati anaandikiwa hii ED alikuwa bado ana hangover kwahiyo hata kusoma akaona uvivu...lol

Hehehehehe, mtakoma na hangover zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…