Beer Vs Tofali

donzii mayeyo

Member
Nov 13, 2015
66
37
Habari za humu ndani,

Nimesikitika sana kusikia eti mtu anafananisha beer na tifal za kujengea,tokea lini beer ikafanisha na vitu vya kawaida.

Naombeni mawazo yenu
 
Kweli kabisa Mkuu,huwezi kufananisha Bia na vitu vya kijinga kama tofali. Kunywa Bia Okoa Maji,Ongeza Pato la Kodi la Nchi.
 
ata ivyo beer inatumia mda mwingi na resources nyingi zaidi wakati wa utengenezaji kuzidi tofali...
 
Bia ndio inayoendesha akili za wataalam dunia nzima, kuanzia watunga sheria, mahakim, madaktar, mainjinia ukiondoa bia dunia itakuwa inatolewa maamuzi ya hovyo sana
 
Habari za humu ndani,

Nimesikitika sana kusikia eti mtu anafananisha beer na tifal za kujengea,tokea lini beer ikafanisha na vitu vya kawaida.

Naombeni mawazo yenu
Maisha hayawezi kwenda kwa kuthamanisha vitu ulivyovitumia na vitu vingine. Ni sawa ukienda ulaya ukifanya kama Happy Katabazi alivyotuaminisha facebook kuhusu bia na matofali hutakunywa soda hata mara moja, yaani ni kuwa hutaishi maana ukifanya conversion ya dola, pound, Kroner etc soda ni sawa na elfu tatu or so za TZ, hutakunywa soda milele mpaka unarudi!
 
Back
Top Bottom