Bedroom yako ndio ikulu yako

Bedroom yako ndio ikulu yako

uwiii! ningemrudisha kwa mama yake kwanza akafundishwe! Aisee, hadi unatamani umuamshe mtu utandike kitanda chako ndo utoke na yeye umfungie nje. kazi kweli kweli. tabia mbili zinakera kuishi na mwanaume, kutofunika choo na kutotandika kitanda.

Afadhali kutofunika, anapee pembeni alafu hasafishi yaani linanikera nilikuwa nagombana na wadogo zangu wakiume kila siku maana ukisikia kaingia chooni tu akitoka inabidi ukachungilie la sivyo unaweza ukaumbuka ukidhani ni pasafi kumbe washaharibu
 
Daaah! Hii bedroom ilivyojaa mijusi na panya ni balaa yani mkianza kugegedana tu panya huyo kapita basi mnaacha mnaanza kumkimbiza! Aaagh! Ntanunua mtego!!
 
Hahahaha, pole sana. You should make your bed when you wake up, immediately ukishuka kitandani (babangu alikuwa anasema kabla hujaenda ku-suusuu). Kutandika kitanda usiku inatia uvivu sana.

Kwa nini usiwafundishe watoto kuwa independent? waaminishe kuwa hakuna kinachowadhuru wala nini, hapo wanaweza kwenda kitandani wenyewe. assurance rahisi sana ni kusali kabla ya kulala.
He he he, hatuwezi, maana mie sitaki kitu kiniguse nikilala, hata ka mchanga kananinyima usingizi.

Ila si kazi nayoipenda, imagine natakiwa nianze kutandikia watoto, niwawekee net, na kusubiria asinzie. Ukiondoka tu, kabla hajasinzia, unaona ka mtu kako nyuma yako(siku niko kwenye mood mbaya huwa nakuwa kama pilipili). Afu huku nako nije nitandike na kwangu, inanichosha kama nini.
 
He he he, ninatandika asubuhi na nikitaka kulala lazima nitandike tena, labda nimerogwa.

Very true, kuwaaminisha watoto hakuna kitu ni nzuri, tatizo huwa linaanza pale uliwaacha ukawa bize na maisha. Ukirudi kutahamaki wameshajazwa ujinga hata hujui uanzie wapi, imagine mtoto anasimulia anaogopa 'jini', wakati mie I can zaba kibao hilo jini. Inahitaji muda kumrudisha ulipomwachia.

Bado muda wa kuoga, mama njoo unisubirie.

Ila kuna kitu uliwahi niambia zamani nikakifanyia kazi taratibu, and its working perfect afu sikuwahi hata kurudi kukuambia asante, ndo nasema hivi, he he he he.

Hahahaha, pole sana. You should make your bed when you wake up, immediately ukishuka kitandani (babangu alikuwa anasema kabla hujaenda ku-suusuu). Kutandika kitanda usiku inatia uvivu sana.
Kwa nini usiwafundishe watoto kuwa independent? waaminishe kuwa hakuna kinachowadhuru wala nini, hapo wanaweza kwenda kitandani wenyewe. assurance rahisi sana ni kusali kabla ya kulala.
 
Nitakualika kwenye kitchen party ya mdogo wangu, manake naona umekamilika

hahaaaa nikiandika sana kuhusu yale mambo yetu nazodolewa, naambiwa napenda sana chini, kwahiyo akili yangu muda wote inawaza bumunda tu
 
Ha ha ha ha ha, yaani umenichekesha kama mwehu.

Yaani unataka umwamshe mtoto wa mwenzio akalale kwenye kochi kisa utandike? Wewe kiboko.

Bora hata asiyefunika choo lakini ana flash aki-pee, kuna watu hadi uwaflashie ujue? Ndio utakapojibeba bila mbeleko.
my dear, hili ulolisema hapa linawagusa wengi sana hasa wanaume yaan nina rafiki yangu kila siku alalalmika juu ya hili kwamba hubby wake akisusu hadi akamflashie.........
mie nikamuuliza siku akisafiri inakuawaje na mumewe ni mtu wa tungi?? akanijibu wee acha bhana ndoa ngumu.
 
Hahahaha, pole sana. You should make your bed when you wake up, immediately ukishuka kitandani (babangu alikuwa anasema kabla hujaenda ku-suusuu). Kutandika kitanda usiku inatia uvivu sana.
Kwa nini usiwafundishe watoto kuwa independent? waaminishe kuwa hakuna kinachowadhuru wala nini, hapo wanaweza kwenda kitandani wenyewe. assurance rahisi sana ni kusali kabla ya kulala.
iv bi dada umewah kuwaacha wanao na mtu baki af wewe ukasafiri??
utajitahd kuweka kondishen zako imagine unamwekea na kila kitu kwa mpangilio kabisa na wewe unamwambia kila siku ufanye kama iv anakuitikia sawa mama.

wewe unasafiri wiki tu unamwomba mtu aje akae nao unakuta utaratibu wote kawabadilishia, making beds inakuwa tatizo, achilia mbali mazagazaga yao ya washroom, mswaki sijui umetupwa wapi, dawa yake ya mswaki mtu kaichukua sabuni mara sijui haion ukizubaa hata ya vyombo utakuta anaogea.....................
 
Hehehe, yaani usiseme mtu tu! hata Paw, nikirudi navuruga hata sishushi mizigo yangu garini. na naanzia kugomba huko nje lol. ndani ya 2 hours kila kitu kimerudi mahali pale.

Yaani mie hata nguo nataka zikae kwa utaratibu, najua hata nikiwa sijafumbua macho ile asubuhi, nikiingiza mkono hapa napata tshirt na hapa napata vest! kwa hiyo order lazma itarudi, lol. nunua filimbi:smile-big::smile-big::smile-big:
iv bi dada umewah kuwaacha wanao na mtu baki af wewe ukasafiri??
utajitahd kuweka kondishen zako imagine unamwekea na kila kitu kwa mpangilio kabisa na wewe unamwambia kila siku ufanye kama iv anakuitikia sawa mama.
wewe unasafiri wiki tu unamwomba mtu aje akae nao unakuta utaratibu wote kawabadilishia, making beds inakuwa tatizo, achilia mbali mazagazaga yao ya washroom, mswaki sijui umetupwa wapi, dawa yake ya mswaki mtu kaichukua sabuni mara sijui haion ukizubaa hata ya vyombo utakuta anaogea.....................
 
msaaada tasavali, title nimeweza Topic imeshindikana labda mods wanisaidie tafadhali

Yaani thithi wadhee wa milimani tunapenda yale mambo, aithee huwa ni ndhuri avae..........thatha ukute kanene loh.........jamani ngoja leo nimtafute Namkunda tumalidhane thita kwa thita! thithi ni baba dhao kunako..........!
 
Darasa lako ni zuri lakini kwa hali ya maisha ya nyumba za kupanga hafu mtu unafamilia haiwezi kufanikiwa labda kwa wale bachala ndo wanweza hizo na pia aishi nyumba yenye vyumba vikubwa.

Kwanza nipende kuwapongeza mno na kuwasifia sana wale woote ambao huzifanya bedroom zao sehemu za kuvutia mno, ambapo hata mwenzi wako aingiapo pamoja na uchovu wote hupata mandhari tofauti na uchovu wote hupotea. hakika kuna watu ni wataalqm katika hili
 
Darasa lako ni zuri lakini kwa hali ya maisha ya nyumba za kupanga hafu mtu unafamilia haiwezi kufanikiwa labda kwa wale bachala ndo wanweza hizo na pia aishi nyumba yenye vyumba vikubwa.
Ni mpangilio tu utashi na uamuzi hakuna kinachoshindikana
 
12111356s.jpg
 
Back
Top Bottom