Bedroom yako ndio ikulu yako

Bedroom yako ndio ikulu yako

nimejikuta nacheka mwenyewe manake bd kwangu hakueleweki.............

ni chumba, ama library, ama jikoni, ama stoo.
 
Binafsi napenda mashuka mazuriiii. Yaani kama ni treat moja maishani mwangu ambayo siichukulii for granted ni a fresh nightie (nzuri) na fresh crispy bedsheets. Its a luxury i can afford daily lol.

Treat ya pili ni privacy. Sitaki mtu aingie bedroom kwangu isipokuwa mpenzi tu! Hii obssession sijui nimeipata wapi aisee.

Ila sasa paw akibaki amelala akiamka anaondoka kama mwizi. Hapa ushauri wa Kongosho (jinsi anavyomhandle zombie ili atandike kitanda) unahusika.
 
Last edited by a moderator:
Mmh! Mwalimu hebu fanya jambo aisee. Bedroom kwako kunasaidia ulale vizuri kwa amani. Plenty of ventilation mchana na hakikisha na mwanga umeingia wa kutosha. Arrangement iwe nzuri na usiweke mazagazaga. Ila kule kwa dada ndo stoo yangu hehehe (mashuka yote, mataulo na khanga zinaishi huko lol)

Nadhani kutandika kitanda itakuwa ni donda ndugu si wewe tu kiwatengu ndo kabisa anapanda viatu kitandani.
 
mamito tatizo langu ni moja tuu kwa siku za hivi karibuni kwamba kila kitu ambacho najua nakitumia nataka nikione kwenye uso wa macho yangu.............sijui uzee..........
 
Au ushashibishwa tayari
 
Binafsi napenda mashuka mazuriiii. Yaani kama ni treat moja maishani mwangu ambayo siichukulii for granted ni a fresh nightie (nzuri) na fresh crispy bedsheets. Its a luxury i can afford daily lol.

Treat ya pili ni privacy. Sitaki mtu aingie bedroom kwangu isipokuwa mpenzi tu! Hii obssession sijui nimeipata wapi aisee.

Ila sasa paw akibaki amelala akiamka anaondoka kama mwizi. Hapa ushauri wa Kongosho (jinsi anavyomhandle zombie ili atandike kitanda) unahusika.
sasa hili la mtu kuamka na kutoka kaa mwizi ndo kabisaaa linaboa
niko na shida moja tuu kwamba napenda sana kushinda chumban yaani nafanyia kazi zangu nyingi chumban hasa za kusoma na kuandika na kuna appliances ambazo nimezifix kwasababu ya kunirahisishia maisha ila sasa chumban......
nimejikuta chumba kina vitu vingi kuliko stoo, na library
 
Kwanza nipende kuwapongeza mno na kuwasifia sana wale woote ambao huzifanya bedroom zao sehemu za kuvutia mno, ambapo hata mwenzi wako aingiapo pamoja na uchovu wote hupata mandhari tofauti na uchovu wote hupotea. hakika kuna watu ni wataalqm katika hili
bedroom kwa asilimia 99 unakuwa wewe na mwenzi wako tu,ni sehemu ya mazungumzo ya faragha, ni bustani yenu ya eden,ni mahali ambapo watoto au kizazi huendelezwa

Bedroom ni mahali ambapo uumbaji wa Mungu hujidhihirisha kwakuwa ni hapo tu mnaweza kuwa watupu kwa hiari yenu, bila kuoneana aibu wala haya, ni mahali ambapo mnajitenga na dunia na kubaki nyie tu wwawili, wa tatu akiwa MUNGU na wanne akiwa shetani
hivyo basi kutokana na unyeti huu bedroom yapaswa kupewa kipaumbele kikubwa mno, kuanzia kwenye usafi, rangi za mashuka na mito, aina ya godoro na mito, aina ya kitanda mapambo ya ndani nk

kama kuna sehemu tunapaswa kuwekeza sana ni bedroom, jitahidi iwe kubwa , yenye rangi zilizotulia, hewa ya kutosha na mpangilio wa vitu ndani, bedroom inapopendeza na kuvutia huleta very wonderful sensation ya mahaba na hata kama kuna shida mahali fulani hujikuta wote mmeisahau
bedroom si ya kumpa mdada akusaidie kutandika au kusafisha,.bedroom haiachwi wazi ni sehemu maalum kwa nyie wawili tu, ni kama ikulu ilivyo strict kwa watu wengine
Chinua Achebe katika No longer at ease alisema hapo ni "Holy of the Holies!"
 
nimejikuta nacheka mwenyewe manake bd kwangu hakueleweki.............

ni chumba, ama library, ama jikoni, ama stoo.

Haa haa, nimekusaidia kucheka...masanduku na mafurushi utafikiri alfajiri kuna safari ya Lukuledi...
 
Ha ha ha, nadhani mie na Paw tukiishi safi sana:smile-big: tutaondoka na shuka vichwani, zombie ni mtandishi mzuri kuliko mie:A S 13:

Nimegundua bana, kwenye mahusiano ukigundua mwenzio ni mzuri kwenye A, wewe ndio unaipotezea kabisa hiyo A unashikamana na B

Binafsi napenda mashuka mazuriiii. Yaani kama ni treat moja maishani mwangu ambayo siichukulii for granted ni a fresh nightie (nzuri) na fresh crispy bedsheets. Its a luxury i can afford daily lol.

Treat ya pili ni privacy. Sitaki mtu aingie bedroom kwangu isipokuwa mpenzi tu! Hii obssession sijui nimeipata wapi aisee.

Ila sasa paw akibaki amelala akiamka anaondoka kama mwizi. Hapa ushauri wa Kongosho (jinsi anavyomhandle zombie ili atandike kitanda) unahusika.
 
yeleuwiii!
siamini hii aisee. tubadilishane basi. yaani mimi nikiwa njiani kurudi nyumbani nawaza kitanda ambacho hakijatandikwa afu nachoka zaidi. ila nikiwaza kubadili shuka napata nguvu mpya and it takes me 3 minutes kubadilisha tu.
napata 😛hoto:, wewe na paw mtalala hadi na nyoka aisee! au mijusi!
Ha ha ha, nadhani mie na Paw tukiishi safi sana:smile-big: tutaondoka na shuka vichwani, zombie ni mtandishi mzuri kuliko mie:A S 13:

Nimegundua bana, kwenye mahusiano ukigundua mwenzio ni mzuri kwenye A, wewe ndio unaipotezea kabisa hiyo A unashikamana na B
 
mie napenda pia kukaa chumbani. imagine nikilala kwa tumbo kitandani naweza kufanya kazi kwa laptop ama iPad for 4 hours straight! ila nikikaa mezani nachoka. lakini asubuhi nikiamka natoa kila kisichohusika hadi bilauri ya maji. staki clutter na mwisho nagawa sana nguo ili niwe na space kabatini
sasa hili la mtu kuamka na kutoka kaa mwizi ndo kabisaaa linaboa
niko na shida moja tuu kwamba napenda sana kushinda chumban yaani nafanyia kazi zangu nyingi chumban hasa za kusoma na kuandika na kuna appliances ambazo nimezifix kwasababu ya kunirahisishia maisha ila sasa chumban......
nimejikuta chumba kina vitu vingi kuliko stoo, na library
 
uwiii! ningemrudisha kwa mama yake kwanza akafundishwe! Aisee, hadi unatamani umuamshe mtu utandike kitanda chako ndo utoke na yeye umfungie nje. kazi kweli kweli. tabia mbili zinakera kuishi na mwanaume, kutofunika choo na kutotandika kitanda.
Nadhani kutandika kitanda itakuwa ni donda ndugu si wewe tu kiwatengu ndo kabisa anapanda viatu kitandani.
 
Ha ha ha ha ha, yaani umenichekesha kama mwehu.

Yaani unataka umwamshe mtoto wa mwenzio akalale kwenye kochi kisa utandike? Wewe kiboko.

Bora hata asiyefunika choo lakini ana flash aki-pee, kuna watu hadi uwaflashie ujue? Ndio utakapojibeba bila mbeleko.

uwiii! ningemrudisha kwa mama yake kwanza akafundishwe! Aisee, hadi unatamani umuamshe mtu utandike kitanda chako ndo utoke na yeye umfungie nje. kazi kweli kweli. tabia mbili zinakera kuishi na mwanaume, kutofunika choo na kutotandika kitanda.
 
He he he, hatuwezi, maana mie sitaki kitu kiniguse nikilala, hata ka mchanga kananinyima usingizi.

Ila si kazi nayoipenda, imagine natakiwa nianze kutandikia watoto, niwawekee net, na kusubiria asinzie. Ukiondoka tu, kabla hajasinzia, unaona ka mtu kako nyuma yako(siku niko kwenye mood mbaya huwa nakuwa kama pilipili). Afu huku nako nije nitandike na kwangu, inanichosha kama nini.

Back
Top Bottom