Bed wetting kwenye ndoa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bed wetting kwenye ndoa!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jul 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,601
  Likes Received: 5,778
  Trophy Points: 280
  Usione watu wanaishi kwa furaha wako ndani ya yesu wanakula utamu wa yesu ...aijalishi unashida gani ukiwa unakula utamu wa yesu wala akuna kinachoshindikana,,ndugu mpendwampenzi nimeona mungu akitenda sana miujiza kwa wale wenye matatizo ya ved wetting aijalishi mwanamke ama mwanamume...kuna roho zinatokea kukufanya uwe hivi na hili hufurahia kama mkiwa wanandoa na mwenzakommoja kuamua kukimbia...sasa basi ukiacha hilo pepo hilihushikilia tumbola uzazi na mwanzo 1:24 naambiwa wakazaliane wakajaze nchi sasa uoni hii sio mapenzi ya mungu

  usiku wa leo naomba kamauna matatizo haya ingia ndan na mwenzako omba
  1
  toba mungu akusamehe kwa maovu yote uliyofanya aijalishi uchafu gani na kwakuwa ukona mwenzio ngumu kuyataja nyie mwambien mungu awasamehe

  2.ombeni rehema ya mungu zab 51 ama nehemia1 mstari wa 4 mpaka 25
  3.mwambie mungu aonyeshe makusudi ya ko namwenzio kuwa mmoja na si kwa wazazi wenu....
  4jitahd uache uovu na kma linakutokeahili aujaoa fwata hapo juu soma kwamakini mwombe mungu miujiza

  5 omba kwa ajili ya uzao huwa inapiga sehemu za uzazi sana sana ...nakueleza haya kumbuka farao aliota ndotoya miaka 7 ya njaa baada yha miaka 14 ikadhirika so wewe ukikalia matatizo yako sasa siku unasubiri uoe ama uolewe upone we utashambuliwa mbaya na kama uko kwenye ndoa yenuyawe kimoja pigaen sala akuna lisilowezekana kwa mungu
  wanaosema nakkuwacheka kukosa watot watwaletea nepi mwezi kama huu mwakani in jesus name print na uifanyie kazi nikumbuke kwenye uzao wako mungu azidi kuongeza didy com babies
   
 2. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  ameeeeeen
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Pddy I am curious... na samahani naongea OFF TOPIC...

  Hua unakua na threads nyiiingi saaana ambazo unatoa na za maaana...
  Interest yangu ni haya....

  1. Kwanini una post mo' than four kwa wakati mmoja na ni ndefu mno.... naona hututendei haki maana personaly hua nazipenda but nikosoma mbili tena bado nyingine labda tatu inakua kazi kweli kusoma na zingine....
  2. Nyiingi hua unatoa na inahitaji mjadala kwamba members twaweza comment alafu ukatudadafulia zaidi ili tueliewe kwa vizuri.... Si bora ungekua walau mmoja kwa siku ili tuwe bega kwa bega...
  3. Na labda kuna speacial reasons zanakufanya lazima upost zoote kwa mpigo...
  Natanguliza shukrani... na naomba saaana unijibu maana thread zako nyiiingi hua napenda but nakua dissapointed kua haiendelezwi... hasa nawee.

  Pamoja Saaana....
  ADI
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Asante dada!
   
 5. s

  shalis JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  ubarikiwe.
   
 7. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ashadii umenena hata mie nilishawahi kumwambia ila naona ni style yake na yeye hasa anapoona kuna thread zilezile anatumwagia zake,kuna siku zilikuwa kama kumi hivi na zote karibu ni nzuri ila unazisomaje sasa maana huwa ndefu sana,othrwise,respect kwa thread hii ya leo,Mungu aakubariki
   
 8. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  amen ....... ushauri wako utawasaidia wengi - anzisha basi counseling centre jamani??? au andika kitabu???? najua unayo mengi ya kuelimisha.

  blessings to you.
   
 9. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Ameeen, Mungu na akuzidishie......
   
 10. c

  charndams JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  asante kwa thread lakini unataka kumaanisha bed wetting inasababishwa na pepo? na unashauri watu wapige sala ndo suluhisho la bed wetting? kuuliza hivo si maanishi mimi mpinga kristu, hapana ni ufafanuzi tu naomba
   
Loading...