Wanaume watano "waliomzalisha", ukipata mdada alotembea na wanaume watano in her lifelime basi umeoa bikra kabisa.Kwa hiyo unataka kusema wanaume watano in a woman's lifetime ni idadi kubwa sana au tatizo lipo kwenye kuzaa? Mimi nimekumiss hadi nimechoka sasa sikumisi tena[emoji13]
@aspirin ana tabia ya wivu, hizi habari za kukumisi ni heri nikaandikia chumbani.Mimi hujawahi kunimiss?
Na ugeni wa jiji unachangia jpl iliopita natoka kuangalia mechi ya simba nikaone nikae bar moja pale taifa nafika nikaaa meza moja na mtoto mkali naanza kutia nyimbo mara anatokea mtu wa kati mama jitu zima shangingi la zamani kimuonekano hamna hatasehemu isiyo guswa eti ndio nijadiliane nalo nikaona wananifanya acacia kwenye biashara ya makinikia lete bia mbili nikampa wanangu awe kama analisomesha ilinichukue point tatu kwa mtotoZina utamu.
hahahahaha sio wote but you have the fact for baadhi,Siku hizi wanajua CHURA ndio kila kitu...
tutake radhi mkuuHawa wa jf ni ugly with brain
Ball jointHizo parts zina nini hivi?
Kila mwaka anabadilisha partner..tehMtu kaanza kugegedwa ana miaka 15, hadi kuolewa kagehedwa miaka 10-15 unategemea nini?
wale wanaojua ndo silaha pekee huwa hufanya hivyoKwanini mnapenda kupiga picha mkionesho makalio?