Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
Pesa au uamuzi??? Kupanda mt kili mtz ilikua nadhani hadi sasa ni buku jero....hauna hata hii catress???Pazuri ni kukosa pesa tu za kutembea vivutio
Pesa au uamuzi??? Kupanda mt kili mtz ilikua nadhani hadi sasa ni buku jero....hauna hata hii catress???Pazuri ni kukosa pesa tu za kutembea vivutio
Pole nimeona umepoteaMaisha tu
Sina nichangiePesa au uamuzi??? Kupanda mt kili mtz ilikua nadhani hadi sasa ni buku jero....hauna hata hii catress???
Yeah, takribani 1 billion imetumika kukamilisha ujezi wa daraja 😊😊Wanazindua daraja?
Mnawalimia Tembo na Nyati sasa tena, nani mwenye kiherehere Cha kulimisha tenaMh uko kiboko bora kwetu hapa af sasaiv tunalima pale shamba la maharagwe
Wamechimba mtaro mkubwa kuzunguka shamba tembo hapit ila punda milia analuka na swala anakukaMnawalimia Tembo na Nyati sasa tena, nani mwenye kiherehere Cha kulimisha tena
Ndio maana anakaa mbali na jf anajua atafumgua tu humu 😂Kozi Alisha maliza zote, amefunga kila siku anahali mbaya
Tuma nambaSina nichangie
Hii naijua hii unataka waidake hapa 😂Tuma namba
Uoga wako umasikini wakoHii naijua hii unataka waidake hapa 😂
Broo acha zakoUoga wako umasikini wako
Leo haujapika?Broo acha zako
Sijapik kitu leoLeo haujapika?