Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
Uganda ina wanawake wazur black beauty wasio na kero hata kdg. wanaheshima kinoma na wana bidii.ila karbia mkenya uone utakavyo teseka na mawazo. wadada wakenya wabinafsi na wengi manyamera ukizingua tuh hatupo nawe tena.