Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

kwani uzuri wao unawatia ujinga ndio maana wanachelewa au wanakosa kabisaa...
 
Umenikumbusha wimbo wa Lucky dude Zinduna unaitwa its not easy moja ya bridge zake wanasema.... "Beautiful Woman is another mans plaything"

Wengine wameletwa hapa duniani waje watoe tu burudani na sio kuolewa!!Period

Yes,wimbo nauelewa sn huo mkuu,Dube anasimulia kisa kikali cha yeye kumwambia mama yake kwa simu kuwa anaoa.Mama anamuuliza vipi umemchunguza huyo mke? Dube anajibu she is the best.
But anapiga simu huku inamuuma na kumwambia mama ndoa yng inavunjika,lakini mama yake anamjibu "It is not easy............"
Ni fundisho kubwa sana kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Wanasahau hii
 

Attachments

  • 1410204666415.jpg
    1410204666415.jpg
    44.2 KB · Views: 137
Jaman samahanini hiy pic iliy kweny post niya mke wang...huyo siy single kasha milikiwa huyo ni inocent mali niliyotoa ndogo 2 but now ninamzigo ndani tena hata hauchepuk yan uhaheshima sn
 
Good behaviour is lacking...no one (man) will marry a beautiful girl with bad behaviour.



fine_black_woman.jpg



Why are the beautiful ladies still single... And the ones not too beautiful are getting married.

Just asking?
 
Last edited by a moderator:
Kuchagua kwingi na kuwa "too expensive".

Ex wangu ambae we are still in good terms, we talk mara kwa mara, imefikia kipindi nikamwambia usipoangalia utabaki home!

Kwanza she is very pretty halafu kichwani ndio usiseme,at 26yrs tayari kana MBA, mwanaume ataanzia wapi hata kumsalimia? Mwanaume ambao at least wanaweza kwenda nae sambamba, wale ambao wanamwona wa level yao wote wameshaoa. Mara ya mwisho I know, she was dating a married man. Unaanza kujiuliza, kweli kakosa wanaume single vijana? Me nilimwambia, by dating older men kama hivyo you are scaring potential serious men who would like to be with you. Atakwambia, sijapata mtu tunaye-match i.e still looking for perfect match. He has to be tall, not necessarily successful but must ambitious and intelligent. Nilikuwa nafit ila tulishindwana because she was a control freak. I got another woman na muda si mrefu Mungu akipenda tutafunga ndoa.

Lakini my Ex hajui tu kwamba miaka inaenda and she is becoming more powerful with her education and job position which makes her more "simuwezi" among potential suitors, atakuja kutahamaki she is 30 na wanaume wanangalia wadogo zake.

Matatizo yao ni yale yale, kuchagua kwingi na wakati mwingine kuwa na mafanikio sana. As my cousin sister wangu alivyokuwa anamshangaa best yake ambae hajaolewa, "Binti hujaolewa, unanunua Prado tena la milango sita!!"
 
fine_black_woman.jpg



Why are the beautiful ladies still single... And the ones not too beautiful are getting married.

Just asking?

mhhh labda nivae miwani? ana uzuri gan? au ilo wig refu. mm ni mdada kwa huyu sijaona. mis chaga unaonaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom