Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

Na hii ni moja ya framing wanayoipenda kupita maelezo...
Lakini nakwambia ni 0.00001 ya mabinti hawataki kuolewa...
Lakini nakubali sentensi kama hii zinasaidia sana tu kujifariji...

Well...I can't really speak much about it because I'm on the other side of the fence.

So you could very well be right or somewhat right.
 
Well...I can't really speak much about it because I'm on the other side of the fence.

So you could very well be right or somewhat right.

Do not trust a woman anaekuambia hataki kuolewa......hasa kama yuko involved na wewe na umemuambia hutaki kuoa...
 
Kwa hiyo wengi wao wanataka sana kuolewa ila wanakosa suitable candidates na kuamua au kujifanya kufuata falsafa ya 'sizitaki mbichi hizi'?

More than that.....wakati mwingine anaweza kuwa yuko in love na wewe ambae hutaki kuoa....so anasubiri labda uta change your mind umuoe...
 
Uzuri wao ndo unawafanya wasiolewe, kwasababu wanatongozwa sana, sasa wanashindwa kuchagua mtu sahihi kwao, wanaishi kwa wanaume wanao wachezea, wengi wao wanaishia kuliwa na wanaume wajanja wajanja, ambao wanajua mbinu za kuwala, ila wale waoaji kweli wanakata tamaa mapema. Ndo maana wazuri wengi hawaolewi
 
Hahahaha sasa presha ya nini jamani ndege wako mwenyewe tena yupo ndani.

nani kasema huyu atakuwa wangu peke yangu??

fine_black_woman.jpg
 
wazuri, kiburi chao ndo kinawaponza, most of them they are not real, wanaigiza maisha....wavivu, wanapenda urahisi tu....hawana uvumilivu....
 
Uzuri wa mwanamke wakati mwingine na ufananisha na simu za mkonon,kuna original,kuna fake.
Zaidi simu zuri ya leo si ya kesho!
A
 
Sisi wanaume huwa hatuna haja na uzuri wa sura au umbo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom