Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

Beautiful but still single, inakuwaje mambo haya?

Mbona Daudi Kabaka alishatoa majibu...



Napenda kwenye beti ya pilii anaposema:

"Pengine tabia zako ndizo mbaya...
Awali kweli dada ulijivuna...
Kwanza mimi nilitaka nikuoe...
Ukaringa ati sina masomo"...
 
Last edited by a moderator:
Utakua huchanganyikiwi..Bali wanakuchanganya wewe muhusika hadi umri unasonga na Reputation inapungua

Watu wengi huwa hawajui kuwa kuna time ya binti huwa yupo sokoni sana kwa maana wanaomuhitaji ni wengi lakin na yeye anakuwa anachagua sana ndo umri unaposepa
 
Dah,niliwahi kumpenda binti mmoja mzuri sana(Kwa sura).Nilipomwambia kuhusu kumuo alinambia "Tatizo we ni mfupi".Juzi kati nilikutana nae nikiwa na mke wangu.Cha kushangaza mke Wangu ni mrefu kuliko yeye.Alitamani akimbie ila hakuweza,umri umeenda hajaolewa.Alibaki tu kujisemesha watoto wako wazuri mi nikamwambia hata mke Wangu mzuri.
 
sio lazima kila mwanamke mzuri sana aolewe bhana!
hivi mnafikilia ikiwa hivyo tutapata wapi michepuko ya ukweli/mikali
 
ni wana gharama kumpata na kuendelea kuwa nae ni hasara, wasumbufu wanavutia kwa kila mwanamme ko watu wanadhani ni malaya, niwachaguzi sana na kama huna gari nzuri na cheo kizuri mkwanja wakutosha haupo kwe list yake sio wife material kwa tabia zao sio wavumilivu wasikivu hutaweza kuishi nae dawa ni kugonga na kusepa tuu
 
Labda wana ji overate...kila mwanaume anayewatokea wanaona ni wa lower status kwao...wanasubiri wa status yao au ya juu zaidi yao...

Si unajua zile za 'yani niolewe na huyu...bora nizeekee home'...'na uzuri huu yani nimilikiwe na hiki ki Hamis...hell no...nasubiri mwanaume wa maana'....kibaya zaidi badala habanie papuchi anagawa hata kwa hao lower class...hapo ndio wanatengeneza CV mbaya...

sa kibaya wale ambao ni target yao nao wana taste zao za wife na wewe haumo kwenye vigezo vyao...

na kibaya ukute anashindwa kuwa 'expensive' anakuwa na multiple partners huku wote anawaona hawana vigezo, sasa hata yule wa quality yake hawezi kuji commit anakuwa amesha mpa label mbaya...sana sana na yeye atapiga afu ateleze...

Ni wanaume wachache wanaweza kujicomit kwa msichana ambaye ana list ya wanaume waliompitia kila alipopita...vyuoni, kazini, mtaani...na wazuri wengi (si wote) wana hii CV...

Mimi napenda sana kuangalia Bella Naija wedding...yani utadhani nataka kuoelwa mara ya pili...nasoma love story za watu...naona wanao propose na ma BMW X6 na wanaowaoa utashangaa ni wa kawaida si Kim K type...unajiuliza huyu mwanaume na miela hii si angeoa mwanamke yeyote tena mzuri kama malaika...lakini story wanazo share zinasaidia kujua what men are looking for wakitafuta mke wa kusihi nae, mama wa watoto wake...
Umeshafunga thread na mwenye kuelewa aelewe maana umepanda mbegu...zingine zinafikia kwenye magugu,zingine kwenye mawe na zingine kwenye udongo wenye rutuba
 
Watu wengi huwa hawajui kuwa kuna time ya binti huwa yupo sokoni sana kwa maana wanaomuhitaji ni wengi lakin na yeye anakuwa anachagua sana ndo umri unaposepa
What I know...life is about choices..,kama ukijutia(muda umeshazeeka) which means you chose the wrong one
 
according to which source.?

From which ground,country, person you laid this ?
 
Hata waliofikambali kimasomo huawanasubili sana
 
Tatizo lao wanautumia uzuri wao kama kitega uchumi hatimae wanakuwa wanatumiwa na wenye mihela kama vyombo vya starehe tu,kapuku akija na tongozo za kutangaza ndoa anaonekana mchoovu.Wakija kustuka tayari umri usha watupa mkono.

Haswa hawa ma beauty wanaojiita wasomi wana majibu ya kukatisha tamaa ,Ukimfuata kwa nia njem ya ndoa kama huna kitu anakujibu nyodo ooohh "we mkaka hivi hata nikikukubalia unafikiri utanipa nini jamani".
Sasa hapo unategemea nn?
 
Ila lugha za kuropoka hovyo bila kutafakari yaani lazima nikimbie bila taarifa, mwanamke mwenye majibu ya kufyatua namuogopa zaidi ya ukimwi.
 
1.Mvumilivu yan anayeweza kumpenda mwanaume hata kipindi cha magumu na upungufu wa fedha.
2.Aliyepevuka kiakili yan mawazo na mtazamo thabiti
3.Uaminifu uwepo sio jalada/file linakuwa chafu mpaka basi.
4.Upendo wa kweli kwa mwanaume,wazazi na ndugu wa mwanaume.Tabia za uchoyo wa chakula na vitu vidogo vidogo sumu kubwa sana kwa mwanaume.
5.Anayeridhika na maisha pamoja na uwezo wa mwanaume alionao
6.Mwenye shukrani,unyenyekevu,upendo na mwenye kujua kuomba msamaha pale anapokosea.
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanaume wengi huviangalia wanapotafuta mke na sio uzuri tu.
Huo ni mtazamo binafsi tu wana JF vingine mnaweza ongezea mana kila mtu ana vinavyompendeza.
 
fine_black_woman.jpg



Why are the beautiful ladies still single... And the ones not too beautiful are getting married.

Just asking?

huyu hata mimi sioi...ila nitafanya juu chini nimle ILA SIOI HUYU....usiniulize kwanini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom