Tatizo unataka kuandika sana wakati hujui kusoma....sijui!na ninakukumbusha tu siyo kila kitu lazima uwe unakijua Kama unajua hujui tulia ufundishwe...siasa na uswahili siyo nguvu/kipimo cha uelewa ulionao....!!Siyo mada hii tu ni nyingi tu unarefusha mdomo na kutuchanganyia madesa....
Inawezekana kabisa unakerwa na ukweli, au hata kama siukweli, unakerwa na watu kuwa na mawazo tofauti.
Hii sababu ya watu kuona mawazo tofauti ni keroni moja kati ya vitu vinavyosababisha umasikini wetu.
Ukweli ni kwamba, kitu chochote kikiangaliwa kijuujuu, kukubaliana si jambo gumu.
Na kitu chochote kikianza kuchunguzwa kwa undani, kutokubaliana ni rahisi.
Ukikataa kutokubaliana umekubali tuangalie mambo kijuujuu na umekataa kuchambua mambo kwa undani.
Na JF kama tunataka tuwe tunaishikwa motto ya "Home of Great Thinksers" na "Where we dare to talkopenly", kutokubaliana si jambo la ajabu.
Kwa sababu wabongo wengi kwanza hata kuandika kwa kauli nyoofu ni shida, mpaka tubalasane ndiyo mtu anakubali kwamba alichoandika hapa ni ushairi tu wa kuonesha mapenzi yake kwa Angola, si fact.
1. Hiini public forum.Sasa kama nimeonesha kwa mapenzi yangu we kipi kimekuleta hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimetuma picha nzuri basi ila sikuja kuleta picha za kuchambua mji wa Angola kesho naleta za Moroco na South africa sawa.yan sehem nilizopita
Mbona unasoma na unajibu......Tatizo unataka kuandika sana wakati hujui kusoma.
1. Hiini public forum.
2. Wewe ndiye uliyeninukuu mimimwanzo kabisa. Ukataka kuleta uongo kwamba Luanda kuna kitu cha pekee, uongo ambaompaka sasa umeshindwa kuutetea.
3.Umetaka kuleta uongo na ujinga kwamba kununua vitu kwa bei ya juu bila sababu ya kueleweka ni ujanja. Nimekusahihisha kuwa huo ni ujinga, wajanja hawanunui vitu kwa bei ya kupigwa bila sababu ya kueleweka.
Bisha.
Mimi hata kuku akichakura nasoma, wewe hujui tofauti.Mbona unasoma na unajibu......
kwa harakaharaka mleta mada hajatembea sana na pia anakuwa kama anatetea kila kitu about Angola... Mkuu huyo luanda ni takataka tu zunguka zaidi
Public forum lakin sio kila thread ujibu.
Hakuna mahala nimesema luanda kuna kitu cha pekee lete screenshot nimesema Luanda pazuri nimepapenda na mipicha hyo nimetuma nikasema hata waamerica wanaenda kula bata pale na maisha yanaenda.wewe ukaja na GDP na takataka zako complex kama kesi za makinikia.
Nunua kitu kuzingatia Right quality,Right Price at a right time Mr. mie nilienda kutembea ila sio kufanya reseach Ebooooooooooo weeee mtu kichwa kigumu ka umekula kifuu cha nazi.
...huna ulijualo zaidi ya kunyoosha Kanzu!..Empty boxMimi hata kuku akichakura nasoma, wewe hujui tofauti.
Kama kweli wewe ni vacuum kabisa, maana unagalagazwa na empty box....huna ulijualo zaidi ya kunyoosha Kanzu!..Empty box
HahaaaMkuu. Hapo hakuna jengo la expansion joints...
Sio kila thread najibu, lakini wewe hupati kunipangia ipi ya kujibu.
Ushakubali kwamba Luanda unapasifia kwa mapenzi yako binafsi tu, si kwa chochote ilicho nacho zaidi ya sehemunyingine.
Na kwa ujuha wakoumekubali kwenda kupigwa huko.
Luanda is among the most expensive cities in the world kufanyamatanuzi, hivyo ukiongeleamatanuzi ya Luanda halafu ukaongelea right price una ji contradict.
Mtu anayeenda kufanya matanuzi Luanda haangalii right price,anasema I have money to burn.
Wewe unaelewa hata unaposimamia?
Unataka right price au unasema una money to burn?
Utawajua tu wenye roho za kwa nini!Mbona pa kawaida tu
Unataka kueleza maendeleo, beautiful africa, wakati kuna watu kama hawa. hakuna beauty yoyote hapo. JestkillaSijajaja ku compare maendeleo ya huko yaliko na huku niliko hayo fungua thread yako halaf ndo ufanye hzo comparison na katika hii thread hakuna mahala nimesema mambo ya maendeleo kichwa cha thread kimejieleza vizur pale juu
ni baba yako ujue...Wewe ndiyo Una Ubongo taka, Usikurupuke siyo kila kitu unachukulia kwa muhemuko Bro.....Afu wewe ni Mwanamme wa Dar eti?