Beautiful Africa-Angola.

Tatizo unajipigapiga bado.

Ukikua utaacha.
 
Is your shift key stuck or something?
 
Beatiful Africa-Angola.....!!kwa maana hiyo Kesho Anaweza Akaandika Beatiful Africa-Tanzania...etc....Kulinganisha,siasa,Umaskini,sijui GDP,sweden yote hayo yametoka wapi?!..mbaya zaidi yanaandikwa kwa kumnanga mleta uzi..Tujadili kilichopo
 
...Kwa hiyo hizo ni picha za kariakoo dar,masaki na oysterbay au Soko matola Mbeya....!?Tuelezee ni picha za miji gani ambayo mleta Uzi ametunga ili kupitishwa kuwa kweli?!?....
Fuatilia mjadala, kwani nanikakataa picha?

Unajua kusoma?
 
Beatiful Africa-Angola.....!!kwa maana hiyo Kesho Anaweza Akaandika Beatiful Africa-Tanzania...etc....Kulinganisha,siasa,Umaskini,sijui GDP,sweden yote hayo yametoka wapi?!..mbaya zaidi yanaandikwa kwa kumnanga mleta uzi..Tujadili kilichopo
Unajua kusoma?
 
Nilitaka kushangaa..

+ Zurich pia --ni kawaida wana Kutoka Zurich kufanya Manunuzi yaa kawaida Vienna au Germany.

shati au saa hazinunuliki.
 
Kwa utajiri wake wa mafuta Na gesi

Hapakilik kwa vipi hivo vitu vya kawaida na maisha yanaenda uzuri picha za cabinda nimetuma kwenye comment flan humu.mafuta na gesi ni vitu vya kawaida.
 
Unajua kusoma?
...sijui!na ninakukumbusha tu siyo kila kitu lazima uwe unakijua Kama unajua hujui tulia ufundishwe...siasa na uswahili siyo nguvu/kipimo cha uelewa ulionao....!!Siyo mada hii tu ni nyingi tu unarefusha mdomo na kutuchanganyia madesa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…