Beatrice Shelukindo apokea vitisho

Beatrice Shelukindo apokea vitisho

Unaongea ni upuuzi mtupu.Maslahi ya wananchi ni supreme.Yes amewalipua!
Pamoja na suala la bi huyu kufichua maovu makubwa ya wizara ya nishati na madini mbele ya jamii ambayo imepelekea kusimamishwa kwa katibu mkuu wake na shinikizo la kujiuzuru jwa waziri na naibu husika, je hili si kosa kwake yeye bi shelukindo kumiliki nyara za selikari kinyume talatibu zinavyntaka... Je sheria inasemaje kuhusu hili, au kwakua ni mmoja wa wanamtandao.!!! Vp kama moja wa member wa upinzani ndo amgekua na nyara hizo.!??
 
Unaongea ni upuuzi mtupu.Maslahi ya wananchi ni supreme.Yes amewalipua!
unaweza kweli ukawa ni upuuzi lakini ni vyema kufata jinsi katiba inavyosema kama kila mtu anaweza kutengua katiba kwa maslahi ya wananchi then hamna haja ya existance ya hiyo katiba.
 
Hakuna siri ya kuiibia serikali. Hivyo nyaraka zinazozuhusu kuiibia/kufanya ufisadi si nyaraka za serikali bali za mafisadi waliopo serikalini.
 
Back
Top Bottom