Beatrice Shelukindo apokea vitisho

Beatrice Shelukindo apokea vitisho

nikimlinganisha huyu beatrice na yule vuvuzela anna kilango,shelukindo ameweka alama katika siasa za tz,..yule kilango ni kudandia hoja za watu tu,..alijifanya mpambanaji wa ufisadi kumbe yeye ni fisadi mkubwa na waasisi wa CCJ..
 
Kaza buti shelukindo, ila unafiki na uccm na magamba yenu hatuyataki. Kama wewe umeamua kututetea wa tz tutakuwa nyuma yako. LOWASSA NO!
 
Hamna lolote hapo...Hiyo habari ya Bahasha hata Mnyika alikuwa nayo kitamo ila yeye alipata barua tu na kusoma ambacho tulishasikia.
Huu ni uduwanzi, mpeni mbunge her due credit. Amesoma tu barua? Mbona wewe na Mnyika hamkuileta Bungeni kama "mlishaisikia"? Alivyochemka kuhusu JF na kutabiri Lowassa kuwa Rais tulimmaliza humu mpaka sura yake ikasemwa ni ugly, lakini kwa mbunge wa CCM kulipua napalm kama hilo dhidi ya serikali ya CCM jimama anastahili commendation.

Pamoja na suala la bi huyu kufichua maovu makubwa ya wizara ya nishati na madini mbele ya jamii ambayo imepelekea kusimamishwa kwa katibu mkuu wake na shinikizo la kujiuzuru jwa waziri na naibu husika, je hili si kosa kwake yeye bi shelukindo kumiliki nyara za selikari kinyume talatibu zinavyntaka... Je sheria inasemaje kuhusu hili, au kwakua ni mmoja wa wanamtandao.!!! Vp kama moja wa member wa upinzani ndo amgekua na nyara hizo.!??
Huyu mama ajifunze kwa Dr W. Slaa, Dr Mwakyembe, Saed Kubenea, nk ambao walipata vitisho lakini hawakurudi nyuma!
 
Mimi nafurahia mapambano ya ndani, huwa yanarahisisha mapambano ya nje kuzaa ushindi, safi sana mama kaza buti, shusha tena kibomu kingine na mwingine yeyote toka 'the magambas & co' ili kurahisisha mapambano huku nje
 
Mambo ya Wabunge kupewa pesa alilisema Mnyika ila hakuwa na barua. Yeye kaja tu kumalizia kilichoanzishwa tayari na Mnyika na January Makamba. Naona na yeye anatumika tu kama Mzindakaya kulipua wenzie ili siku ikifika apewe mkopo kwa dhamana ya BoT.

Nimeandika kuwa HATUMIAMINI kwa sasa. Hadi atuthibitishie kuwa kweli kabadilika kwa kutetea Watanzania. Ila kama ndiyo kaanza kampeni kwa asili ya Sitta au Lowassa, jambo ambalo nina wasiwasi nalo sana, basi tutakula na yeye sahani moja.

Mengine naona unakuwa MKALI sana kumtetea utafikiri unafaidika na Gamba lake. Hebu soma mwenyewe ujumbe wako uone ulivyo mkali ila unajitahidi tu kujizuia lakini wapi. Hatudanganywi na Magamba na hii vita yao wenyewe kwa wenyewe kwa jina la UTAIFA KWANZA.
Huu ni uduwanzi, mpeni mbunge her due credit. Amesoma tu barua? Mbona wewe na Mnyika hamkuileta Bungeni kama "mlishaisikia"? Alivyochemka kuhusu JF na kutabiri Lowassa kuwa Rais tulimmaliza humu mpaka sura yake ikasemwa ni ugly, lakini kwa mbunge wa CCM kulipua napalm kama hilo dhidi ya serikali ya CCM jimama anastahili commendation.

  • Thanks
Reactions: FJM
Sina tatizo na huyu Mh. Shelukindo kama nae kwa dhati ameanza kupambana na uozo uliopo serikalini, lakini siamini kama ni wakati muafaka wa kumpa credit kwa kuwasilisha ile barua pale bungeni. Tupe nafasi ili tumjadili vizuri.

lakini pamoja na uheshimiwa wake bado nimeona walakini kwenye uelewa wake. baada ya kupoke Msg na simu za vitisho "amesema amewasiliana na makampuni ya simu kutaka kujua wamiliki wa hizo no. lakini ameambulia patupu....source Tbc news 20:00". Nani alimdangaya kuwa kampuni za Simu zinawajibika kutoa taarifa za mteja wake kwa mtu yeyote!? kwa jinsi ninavyomfahanu na kwa network aliyonayo ingemuwia rahisi kutumi njia za off the book kujua wamiliki wa simu hizo. Sasa kwa kuwa yeye ndio kasema kapokea vitisho na kwa kuwa yeye ndio kasema amewasiliana na makampuni ya SIm basi nadhani anajua afanyalo. Lakini isijekuwa ni kujivalisha asiokuwa nao

Nilitegemea angewasiliha malalamiko yake polisi ili ianzishe uchunguzi haraka ikiwepo kupata information za hao wampigiao simu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Heading ya topic haiendani na ulicho andika,kama tuta endelea kupost thread kitoto tuta poteza sifa na ladha ya Jf hivyo ni bora kama mtu hana chaku post bora kuwa msomaji na mchangiaji tu kuliko kuharubu dhana na sifa ya Jf ambayo imejijengea kwa mda mrefu,
 
Namuona Lowassa kwenye darubini ya mbali na mpiga debe wake mkuu Shelukindo wajinga ndio waliwao yaani waache kumtisha January Makamba aliyempa barua Shelukindo waje kumtisha mwakilishi. Hivi watanzania mnafahamu msemo unasema mjumbe hauwawi? au tarishi hauwawi? Kwa maana nyengine vitisho vingelianza kwa makamba na sio mwakilishi. Hizo sarakasi za 2015 wengine tushazielewa kwa mbali.
 
Usijali Mama Siasa ndivyo zilivyo tunakuombea ila acha woga. Hao wanakujaribu tu hawana lolote
 
lakini pamoja na uheshimiwa wake bado nimeona walakini kwenye uelewa wake. baada ya kupoke Msg na simu za vitisho "amesema amewasiliana na makampuni ya simu kutaka kujua wamiliki wa hizo no. lakini ameambulia patupu....source Tbc news 20:00". Nani alimdangaya kuwa kampuni za Simu zinawajibika kutoa taarifa za mteja wake kwa mtu yeyote!? kwa jinsi ninavyomfahanu na kwa network aliyonayo ingemuwia rahisi kutumi njia za off the book kujua wamiliki wa simu hizo. Sasa kwa kuwa yeye ndio kasema kapokea vitisho na kwa kuwa yeye ndio kasema amewasiliana na makampuni ya SIm basi nadhani anajua afanyalo. Lakini isijekuwa ni kujivalisha asiokuwa nao

Beatrice Shellukindo, awasiliane na Stella Manyanya atampa mbinu za kujuwa messages zinatoka kwa kina nani?
 
Sina tatizo na huyu Mh. Shelukindo kama nae kwa dhati ameanza kupambana na uozo uliopo serikalini, lakini siamini kama ni wakati muafaka wa kumpa credit kwa kuwasilisha ile barua pale bungeni. Tupe nafasi ili tumjadili vizuri.

lakini pamoja na uheshimiwa wake bado nimeona walakini kwenye uelewa wake. baada ya kupoke Msg na simu za vitisho "amesema amewasiliana na makampuni ya simu kutaka kujua wamiliki wa hizo no. lakini ameambulia patupu....source Tbc news 20:00". Nani alimdangaya kuwa kampuni za Simu zinawajibika kutoa taarifa za mteja wake kwa mtu yeyote!? kwa jinsi ninavyomfahanu na kwa network aliyonayo ingemuwia rahisi kutumi njia za off the book kujua wamiliki wa simu hizo. Sasa kwa kuwa yeye ndio kasema kapokea vitisho na kwa kuwa yeye ndio kasema amewasiliana na makampuni ya SIm basi nadhani anajua afanyalo. Lakini isijekuwa ni kujivalisha asiokuwa nao

Nilitegemea angewasiliha malalamiko yake polisi ili ianzishe uchunguzi haraka ikiwepo kupata information za hao wampigiao simu

Unayosema ni kweli tatizo hao polisi kwa hapa nyumbani hawana mchango mkubwa kama unavyodhani.Mara nyingine ni bora ujisalimishe kwa vyombo vya habari ili Taifa zima lijue.........,Kubenea alimwagiwa Tndikali,mwenzake akapigwa upanga ni nani alihusika........mpk leo haijulikani,,,,alitumiwa sms za vitisho akatoa taarifa polisi akawaita waandishi wa habari akazisoma na zile sms lakini mwishowe ni yeye ndo alifikishwa kizimbani na jalada akafunguliwa....Hii ndo Tz huyo mama hajakosea kuongea vile TBC...., usimpime kwa kauli ile
 
Kwa hiyo maandamano kwa wana CCm ruksa ,kama anafanta kwa ajili ya kukomboa taifa ni heri lakini kama ni kuwakomoa watu kwa ajili ya mitandao tunamuonya watuachie nchi yetu ikiwa salama
 
Mtu mzima hatishiwi nyau efraim kibonde clauds fm
 
Naomba nitumie ile kauli ya " Anatafuta umaarufu"

Kwa nini asiwaulize kina Zitto na Dr Slaa walitumia mbinu gani kujilinda na makombora ya zengwe baada ya kutibua maovu kibao kupitia bungeni?
 
Heading ya topic haiendani na ulicho andika,kama tuta endelea kupost thread kitoto tuta poteza sifa na ladha ya Jf hivyo ni bora kama mtu hana chaku post bora kuwa msomaji na mchangiaji tu kuliko kuharubu dhana na sifa ya Jf ambayo imejijengea kwa mda mrefu,
mkuu heading ilikua haisomeki hivyo mwanzo, nliandika ' beatrice shelukindo na barua ya wizara ' kubadilisha headings ni kazi za mods nadhani wameunganisha threads.. by the way post no. 3 inaelezea ni jinsi gani muheshimiwa kapokea vitisho hivyo alipokua akiojiwa na tbc.
 
Ukitaka kazi ya Jeshi usiogope kwata..sasa wewe Mama shelukindo..umejitolea???...au na wewe unatumiwa na watu???make siku mbili tu ushaanza kulilalia???....kazana mpaka kieleweke....
 
Ukitaka kazi ya Jeshi usiogope kwata..sasa wewe Mama shelukindo..umejitolea???...au na wewe unatumiwa na watu???make siku mbili tu ushaanza kulilalia???....kazana mpaka kieleweke....

Kuogopa vita/ risasi au kwata? Je, na wewe bado umekomalia unchokifanya kama avatar yako ilivyo?
avatar48980_2.gif
 
Back
Top Bottom